umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  2. Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  3. Umuhimu wa kujifunza coding kwa kila mtu

    Coding Siyo kwa Wataalamu Tu—Ni Kwa Kila Mtu! Katika dunia ya leo inayozidi kuwa ya kidijitali, kujua misingi ya coding ni muhimu kwa kila mtu, si kwa wataalamu tu! Coding ni funguo za mafanikio katika dunia ya kisasa. 🚀 Kwa Nini Coding ni Muhimu? 1. Fursa za Ajira: Sekta nyingi sasa...
  4. Yanayotokea Bungeni Sakata la Gambo na Mchengerwa Linadhihirisha Umuhimu wa Kuepuka Teuzi za Kifamilia

    Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo. Kwa...
  5. S

    Tetesi: umuhimu wa mfumu huru shirikishi baina ya serikali na wasomi kwa maendeleo ya taifa

    Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali Utangulizi Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
  6. Umuhimu wa mjusi wa nyumbani ndani

    mjusi kafiri (anayejulikana pia kama mjusi wa nyumbani au house gecko – Hemidactylus frenatus) ana mchango muhimu sana katika mazingira ya ndani ya nyumba, ingawa wengi humchukulia kama kero. Hii hapa kazi yake kitaalamu: 1. Mdhibiti wa wadudu (Biological Pest Control) Mjusi hula mbu, nzi...
  7. Kipengere cha Measure kwenye SPSS kina umuhimu mkubwa sana!!.

    Jumatatu yangu leo nikasema nisettle nifanye coding ya data za research kwa kutumia SPSS...sasa ile wakati najaza nikafika kwenye kipengele cha Measure kama unavyoona kwenye picha hapo aisee!" Ndipo nagundua kumbe Nominal, Ordinal, na Scale kila moja inamaana yake yaani kiufupi zenyewe si...
  8. F

    Umuhimu wa kuwa na Mgombea Huru unaonekana sasa

    Vyama vyote vya siasa havitaki kuwepo mgombea huru. Hii ni kwa sababu itaondoa uwezo wa chama cha siasa kumdhibiti mwanachama anae tofautiana nacho. Huu ni wakati muafaka wa kumpa haki kamili raia wa Tanzania ya kuweza kuchaguliwa au kuchagua. Mtanzania awe na uhuru wa kugombea mwenyewe au kama...
  9. M

    Umuhimu wa chakula katika shule za awali.

    SHULE ya awali ni kituo cha kuwalelea au kuwasomesha watoto wadogo ambao hawajaanza elimu ya msingi (darasa la kwanza)na kwa sasa serikali imeagiza kwa shule zote za msingi zinazomilikiwa na serikali zimetakiwa kuwa na madarasa ya wanafunzi wa Awali. Na kwa msingi huo hata miundo mipya ya idara...
  10. B

    Kikwete aeleza umuhimu wa mwenge wa uhuru kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
  11. Je, wajua umuhimu wa logo nzuri ya biashara?

    Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha. Huduma Zetu ni: Logo design Poster design Flyers design Kadi za mialiko na Harusi Business card design Banners design Cv design Social media post template Karibu Tukuhudimie Leo..
  12. Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  13. Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  14. Umuhimu wa kunywa maji

    Na Constantine J. S. Mauki March 2025 Utangulizi Asilimia 60 ya mwili wa binadamu ni maji. Ila kwa mtoto mchanga asilimia 80 ya mwili wake ni maji. Kiwango hiki cha maji hupungua kadri ukuaji wa mtoto unavyoendelea; na hatimaye hufikia asilimia 60, ambayo ndio wastani kwa watu...
  15. Umuhimu wa kuweka lenta

    Never forget the ring beam. Never skip it either.no matter how broken. It's like a belt in your trousers 👖 or the elastic in your underwear 🤔. With them (it) things will fall apart. Your house is fortified by your slab (shoeless), your footing (footsore), your ring beam (belt or lastic), and...
  16. Lissu na Umuhimu Asiokuwa nao

    Kauli mbiu ya Chadema ya "No Reform, No Election" imetolewa tena kwenye mkutano na wahariri. Hata hivyo, msimamo huu si wa kisheria, wala hauna mantiki ya kidemokrasia. Katika mazingira ya sasa ambapo vyama zaidi ya 18 vimeshajitokeza kushiriki uchaguzi, ni dhahiri kuwa juhudi za Chadema ni...
  17. Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili. Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
  18. Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  19. Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  20. Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

    Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua? Najua wanaume hatupaswi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…