Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,124
- 2,472
Katika hali ya kufedhehesha mamia ya wajumbe kwenye mkutano wa umoja wa mataifa wamesusia kumsikilizia Netanyahu mara baada ya kupanda jukwaani ,
Hivi karibuni kumekuwa na Matukio ya raia wengi wa mataifa ya ulaya na dunia kwaujumla kulaani na kupinga matendo maovu ya taifa dhalimu la Israeli.
Edit
Wajumbe 180 kati ya Wajumbe 193 walitoka nje ya ukumbi wakati wa Netanyahu kuhutubia.
UK,Ufaransa,Ujerumani ,Australia ni miongoni wa Wajumbe waliotoka ukumbini humo
#freegaza
View: https://x.com/AryJeay/status/1971563788022473110?t=0SbvX-EA3Wt9SMDB2TjIHQ&s=19