umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma - Mkoa wa Morogoro

    Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. Kampeni hii iliyoanza juzi, imeendelea tarehe 06 Mei, 2025 katika Mkoa wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  3. JamiiForums Tanzania Baraza la Famasi latoa Elimu kwa Umma kuhusu majukumu yake na matumizi sahihi ya Dawa

    Leo tarehe 05 Mei, 2025 Baraza la Famasi limeratibu zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu yake pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. Kampeni hii imefanyika katika Mkoa wa Pwani (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo) na Baraza liliweza kutoa elimu kwenye maeneo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

    Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo...
  5. JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Wanahabari na Vyombo vya Habari kipindi hiki cha AI wanao wajibu wa kusaidia umma kujua habari zipi za kweli

    https://youtu.be/tI08NWYXihc?si=tjdasxeZb1GDbpgi Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba waandishi wa habari na vyombo vya habari vinao wajibu wa kusaidia umma kubaini zipi taarifa za ukweli na uongo, ambapo amesema katika...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  7. JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Waraka unaosambaa mtandaoni haujatoka kwetu, tunaomba umma uupuuze

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) linakanusha vikali waraka wenye kichwa cha habari "WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMWA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGONDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA KWA WEEK 10 MFULULIZO". Tunapenda kuwatangazia Waamini na Watanzania wote kwa ujumla, kupuuza...
  8. J

    JamiiForums Tanzania SIKIA hii ya 370 000 hadi 500 000 kwa watumishi wa umma.

    Naamini imekuwa ni shangwe kwa watumishi husika kwa ongezeko la mshahara kwa 35% ambayo ni kutoka 370 000 hadi 500 000 ambayo ni sawa na 130 000, Kitanzania hii pesa inaweza kuwa kubwa kulingana na mahitaji yetu ya kila siku ambayo ni ya lazima(pia hutegemeana na mtu), Lakini pia inaweza kuwa ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti TUCTA akemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa Umma

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya wa kuwasilisha changamoto zinazowakabili. Kailembo amesema hayo katika madhimisho ya Siku ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa chuo cha umma Tanzania washiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Dar

    Watumishi Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC),makao makuu na Kampasi ya Dar es Salaam wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ ambayo kimkoa yamefanyika katika wilaya ya Kinondoni kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmi...
  12. JamiiForums Tanzania Wajua Mwajiri wa Watumishi Wote wa Umma ni Rais wa JMT na Wanafanya Kwa Niaba ya Rais?Rais Samia,P'se Usiruhusu Watu Hawa Wakuchafue,Watakuponza Bure!

    Wanabodi Utangulizi, Hili ni bandiko elimishi la kuelimisha watu humu dhana ya uwajibikaji kwa watumishi wa umma. Je wajua kuwa mwajiri mkuu wa watumishi wote wa umma nchini Tanzania,wakiwemo watumishi wote wa serikali,Bunge,Mahakama,wizara,idara,na wakala za serikali,na mashirika yote ya...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Hoja ya kutakiwa kufanyika mbadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA ni hoja ya umma

    "Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika amtaka IGP kuwajibika na kutoa taarifa halisi ya viongozi wa CHADEMA waliokamatwa na kuteswa

    "Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA akitaja idadi halisi, akitaja sababu sababu ya hali hizo na kuwajibika kutokana na...
  15. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

    Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu. Aiseee hatari. Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe" Ukiwapigania Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Joseph Tadayo: Shinikizo la Umma linaweza mkosesha haki Tundu Lissu

    Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu. Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria. Ametoa mifano kadhaa kwamba; 1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma)...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  18. JamiiForums Tanzania Jamani hawa watumishi wa umma wameishalipwa ili niende kudai madeni yangu

    Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza. Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

    Narudia Tena: Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania Kama serikali inaweza kusimamia Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..? Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?! Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…