umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  2. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania Katbu mkuu wa chama cha Sauti ya umma (SAU) ndugu Kyara awasha moto

  3. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, tarehe 17 siku ya kumkumbuka shujaa wa Africa ni sikukuu ya umma.? Na sisi watumishi hatuendi kazini?

    Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
  4. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma, Majaliwa Kyara kulinda maadili, kuimarisha malezi na kutunza nguvukazi ya Taifa

    Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma SAU, Majaliwa Kyara amesema ili kulinda maadili, kuimarisha malezi na kutunza nguvukazi ya Taifa, kuelekea mwaka 2050 ni muhimu wanawake waajiriwa wakawa na muda mfupi zaidi kazini. Kyara amebainisha hayo Jumamosi Desemba 14, 2024 wakati akitoa maoni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu: Matumizi ya fedha za Umma

    After a long time of usage and public checkability! I have noted that: 1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025. Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kushikilia kadi za benki za Watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa ni kinyume cha Sheria

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka, ametoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa kuacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa ni kinyume cha Sheria. Agizo hilo amelitoa Wilayani Rorya...
  7. Bila bila

    JamiiForums Tanzania CCM Kazi na UTU mnadanganya umma.

    Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya Chama hiki katika miaka 3 hii huwezi kuongelea UTU watu wakakuelewa. Hakuna mahali Chama hiki...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania Safari Channel hacheni kupotosha umma

    Nilikuwa Naangalia Makala Ya Utalii Kwenye Tanzania Safari Chanel, Wakawa Wanasimulia Kwamba Mlima Kilimanjaro Umeanzishwa Mwaka 1973. Nikajiuliza Kwani Kabla Ya Mwaka 1973 Hakukuwa Na Mlima Kilimanjaro Mpaka Uanzishwe Mwaka 1973? Kwa Uelewa Wangu Mlima Huu Ulikuwepo Tangu Kuumbwa Kwa Dunia...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Kubadili fani katika utumishi wa umma

    Habari Wana JF naomba kuuliza . Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu nikachukua fani nyingine ya electronics and telecommunications inauwezekano wakanibadilishia fani...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Sitakaa kimya dhidi ya Ufisadi na Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, amesema hatakaa kimya wakati baadhi ya watu wakiendelea kuendeleza ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, hali inayorudisha nyuma maendeleo ya wananchi. Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya dhati kabisa uchangishawaji wa fedha unaoshirikisha umma, ukawa unaombewa vibali maalum.

    Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu, Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani...
  13. middle east

    JamiiForums Tanzania TAASISI ZA UMMA ZENYE MASLAHI

    Habari za wakuu, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko. TBS, NSSF, TMDA, EWURA, MSD, WCF, TPDC, TIRA Maslahi zaidi ya posho na safari kidogo. Naomba msinishambulie kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kimsingi watumishi wa Umma wanaopigia kura CCM wanalitendea haki Taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao. Kipekee ninatambua kura ni Siri ya mtu na mpiga kura halazimishwi wala hashurutishwi kukipigia Chama...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Patel sio Mtanzania, media za Tanzania acheni kupotosha umma

    Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump. Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huko Marekani ni rahisi sana kuwatimua watumishi wa umma kazini!

    Musk, DOGE yake na Trump wanatimua kazi wafanyakazi wa umma mpaka wanasahau wanapitiliza inabidi wawatafute kurudi kazini tena🤣!
  18. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYOMBO VYA MOTO

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  19. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na vyombo vya moto

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM acheni kupotosha umma. Hakuna mafanikio yaliyoletwa kwa wananchi na CCM kama mnavyotamba na kudanganya umma

    Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na salama. Elimu imeporomoka mithili ya barafu mlima kilimanjaro. Mmjejenga mashule kibao ya kata. Lakinj...
Back
Top Bottom