Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Kwa heshima na taadhima napenda kuungana na watumishi wote wa umma Tanzania bara (Tanganyika ya zamani).
Kupitia ujumbe wa mtumishi aiyesema amepanda madaraja mawili mpaka Sasa tangu awamu ya 6 ilipoingia madarakani -2021.
Kwa kweli hilo ni jambo jema kwake binafsi, ukoo wake na familia yake kwa ujumla katika kuweza kujikwamua kiuchumi.
Hongera sana mtumishi.
Kwangu Mimi Kama mdau wenu (Great thinker) Kuna mambo makuu 4 nimeyaona kwa mtumishi husika,
1.Kushukuru.
Kushukuru ni Moja kati ya tabia njema kwa kusema "Ahsante" Mama.
2.Kutii.
Yupo tayari kufanya kazi kwa bidii na weledi wa hali ya juu katika majukumu yake ya kulijenga Taifa.
3.Kusamehe.
Mbali na kudhulumiwa au tuseme kucheleweshewa Stahiki zake kwa muda mrefu sikuona (katika andiko lake) akitoa maneno machafu kwa mtangulizi wa mama aliyekuwa (mtumishi mkuu).
4.Kuheshimu utu.
Utu wa rika zote (wakubwa kwa wadogo)
MTUMISHI HUYU AMEIFUNDISHA NINI JAMII ?
1."Maadili mema ya kiroho" kwa kutuhimiza kuhudhuria vipindi vya dini kikamilifu.
2."Maadili ya msingi" ametuhamasisha kuishi katika maadili ya msingi ambayo ni (uaminifu,huruma na heshima)
Mambo haya makuu mawili huwa yanasisitizwa sana na Raisi wetu Kila kwenye hotuba zake mara kwa mara.
USHAURI WANGU.
1. Tuwafundishe watoto wetu kuwa na tabia ya "kushukuru" pale wanapopewa kitu au kusaidiwa.
2.Kuwa na tabia ya "kutii" wakubwa wanapopewa maelekezo au jukukumu fulani jema la kulitekeleza.
Hii itaepusha migogoro isiyo ya lazima kati ya wazazi/wakuu wake wa kazi baadaye / jamii inayomzunguka.
3.Kuomba "msamaha" wanapokosea na "kusamehe" wanapokosewa kwa roho safi.
4.Kuonea huruma na kusaidiwa wengine pale inapobidi.
"AHSANTE MTUMISHI KWA KUSHUKURU"
Hii ni Moja kati ya tabia njema.