umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆵𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge afunguliwa kesi kisa kutumia jina lake na picha katika mabango ya miradi inayofadhiliwa na fedha za umma

    Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma. Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Trump kupiga mnada mamilioni ya ekari za ardhi ya umma kuongeza mapato ya serikali

    Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Afya ya umma: Serikali iangalie ubora wa mablankenti yanayouzwa nchini. Mengi yanatengenezwa kwa material yanayoleta allergy(mzio)

    Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania "Kwa Nini Watumishi wa Umma Hulipwa Mafao Makubwa Baada ya Kustaafu Badala ya Kuwezeshwa Mapema?"

    Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi. Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra: "Je, Mafao ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo: 1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani? 2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili? Natanguliza shukrani.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
  7. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

    Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakifa, umma hauna haja ya kusikitika, badala yake, umma unapaswa kumshukuru Mungu kwa kuingilia kati

    Hawa ni wale ambao wamepewa madaraka makubwa katika maeneo mbalimbali na wanayatumia vibaya kwa masilahi yao badala ya kuangalia masilahi ya umma. Hivyo, naomba nitoe wito watu wa aina hii Mungu akiwachukua, tumshukuru Mungu badala ya kusikitika kwa kuokoa jamii dhidi ya mtu au watu waovu...
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mashirika mengi ya umma watumishi wana hali mbaya, yet wanagawa gawio kwa serikali

    Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe? Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
  11. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
  12. DolphinT

    JamiiForums Tanzania "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"

    "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma" Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kuogopa aibu iliowakuta CHAUMMA Mwanza, mkurugenzi wa Karatu awaandikia barua watumishi wote wa umma wahudhurie mkutano wa Amos Makala

    Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  15. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa tume ya Utumishi wa umma

    Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi. Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa. Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
  16. K

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Project G55 ilivyofeli: Nguvu ya Umma yainusuru CHADEMA

    Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu. 1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi. Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojifungua hospitali za umma, wanadhalilika, usalama na stara hakuna

    Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno Wodi imejaa wajawazito na vichanga Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi watatu, hii sio sawa Bora wananchi wachangie huduma ila ziwe Bora, ziwepo wodi za kutosha na wake...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ukimsikia rais Samia anaita watu wanaofichua ufisadi sio wazalendo mwambie wasio wazalendo ni hao mafisadi waliofichuliwa na sio watumishi wa umma

    Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ? inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
Back
Top Bottom