Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,634
- 97,251
Kama haka kadude kamewahi kukuvutia, na unampango wa kukanunua, hakikisha ni 3rd generation (F55 au F56 au F57)!
Hizi zilitengemezwa kuanzia 2014-2024.
F55 ni 5 doors, 56 ni 3 doors na 57 ni convertible. Ila same engine and chassis.
Kuna watu wanasemaga Mini ni mbovu, ni kweli, ila ni generation ya kwanza na ya pili, hii ya tatu ni reliable.
Engine utapata Petrol au Diesel (B37 au B38 au B47) kuanzia 1.2L, 1.5L na 2.0L, zote twin turbo, either 3 au 4 inline. Hizi engine ndio zimemreplace N13, N20, N47 ambazo tunajua ziko na mashida.
Kwahiyo kufupisha story, kama mekapenda haka kadude, jitahidi sana kawe ka 2014 kuja juu.