umeshawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VINICIOUS JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

    No reforms no election. Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
  2. kadiri kasimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

    Habari za majukumu wakuu? Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae? Je ilikuwaje? Je ulisolve...
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar tu:- Je umeshawahi kusikia au kuhudhuria msiba wa Mmasai hapo mtaani kwenu?

    Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini. Hakika...
  4. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

    Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁 After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi au kunusurika kwenda korokoroni kwa kufuata mkumbo?

    Hii inaweza kumtokea mtu yoyote haijalishi unahusika Moja kwa Moja au lah! Mimi nakumbuka Kuna siku rafiki yangu akuja na mteja anauza dsk 1tb kwa 20 tu basi kwasababu nilimwambiaga nahitaji hivo akaamua kumleta muuzaji kwangu Basi sijui nn kilitokea Ila nikajikuta nimekataa kununua ile zaga...
  6. proton pump

    JamiiForums Tanzania Aina za marafiki unaoweza kukuta nao katika mizunguko ya maisha. Je umeshawahi kukutana marafiki wa aina gani baadae ukaamua kuachana nao?

    Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v 1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka. 2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia kishingo upande. 3.Wenye roho mbaya yaani huyu ni zaidi ya mchawi ukifanya kitu kizuri tu lazima afanye...
  7. Marcy

    JamiiForums Tanzania Je umeshawahi kukumbana na kadhia hii kutoka kwa watu?

    Ni pale mpo katika kundi kutekeleza kazi fulani Katika lile kundi wapo watakao kaa pembeni kuangalia hawagusi chochote, Wapo watakao papasa tu ili mradi waonekane nao walishiriki kwenye hiyo kazi Na yupo mhanga atakae jitolea kuitekeleza ile kazi kikamilifu. Endapo kazi itatiki vyema basi sifa...
  8. Tawire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufumaniwa?

    Habari za weekend wakuu? Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako? Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya wife,Akaja direct mpaka kwenye guest tuliyokuwa tunanyanduana,cha ajabu zaidi mpaka kwenye dirisha la...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je umewai kusikia Sauti (Mlio) wa Twiga?

    Wengi wetu hatuna ufahamu kuhusu kama Twiga anatoa Sauti au lah na hii ni kutokana na kuwa Twiga ni mnyama anayejulikana kwa kuwa kimya sana, lakini anaweza kutoa sauti chache zisizojulikana sana kwa wengi. Kwa ujumla, twiga huwasiliana kwa kutumia sauti za chini sana (infrasound) ambazo...
  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi mkuta mtu anatamka kimakosa neno la kiingereza/ Kiswahili/ jina la mtu hadi ukamhurumia?

    Je, ni neno gani la kiingereza, Kiswahili au jina la mtu ambalo mtu wako wa karibu au mtu yeyote unayemfahamu aliwahi kutamka kimakosa mpaka ukaona aibu kwa niaba yake, Ukamshusha hadhi uliyokuwa unampa au ukamhurumia. Binafsi nimekuwa nikitana na watu tofauti tofauti wasomi na wasio wasomi...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

    Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
  12. proton pump

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

    Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo; 1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye...
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya tukio gani la kukumbuka katika mahusiano

    Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine. Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

    Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake. Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na Walaghai wa Mitandao?

    Walaghai wa Mitandao ni watu wanaofanya uhalifu wa mtandaoni kwa kuwasiliana na mlengwa kupitia barua pepe, simu, au ujumbe wa maandishi (SMS), wakijifanya wanatoka taasisi halali. Lengo lao ni kuwarubuni watu kutoa taarifa nyeti kama vile taarifa binafsi, maelezo ya benki na kadi za mkopo, na...
  16. Tanzanian Dream

    JamiiForums Tanzania Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

    Habari wana jf. Kwenye harakati za utaftaji kuna mapito mengi Sana mtu anapitia mpaka anatoboa,Kuna watu wamepitia msoto mkali,wamekutana na changamoto sio za nchi hii,Kuna wakati unajiona unastahili kabisa kukata tamaa ila Kuna sauti ndogo ndani yako inakuambia "never give up" na hasa ukiskia...
  17. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

    Kuna mbingu Saba Bahari Saba Ardhi Saba Binadamu ana matundu Saba Kuna siku Saba Katika wiki Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti...
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuwaza/kufanya jambo tofauti katika maisha yako?

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 17 nilishawahi kuwaza kujiua sababu niliona kama nateswa au kunyanyaswa. Nilishawahi kufikiria kuacha shule kabisa,kutaka kuishi maisha ya kitaa sababu kichwa kilikuwa kizito alafu hata maisha kwangu sikuyaelewa kabisa. Mawazo ya kuomba dua za utajiri wakati...
  19. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Mwamba kama umeshawahi kupotelewa na boxer au soksi ujue umekwisha

    Mpaka mida ya saa nane adhuhuri binti haonekani, ikafika alsir around saa kumi na moja hakuna anayejua kapatwa na masahibu gani binti wa watu. Aliondoka home majira ya saa sita tukajua ameenda dukani, kwakuwa ni mgeni maeneo haya na siku hiyo ilikuwa siku ya mnada huwa pamechangamka sana...
  20. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kushushwa kwenye daladala ili kupisha zoezi la ujazaji mafuta?

    Kwanini madereva wa usafiri wa umma na binafsi hawafuati utaratibu wa kushusha abiria wanapoingia kwenye kituo cha kujaza mafuta?
Back
Top Bottom