umeme

  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda One Year Later, UEDCL marks steady progress after taking Over electricity distribution from Umeme

    State owned Uganda Electricity Distribution Company (UEDCL) has made one year since it took over electricity distribution from private owned UMEME ending its 20 year operation on March 31, 2025. “The first year has been about stability rather than transformation, keeping lights on while we fix...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wataalam wa EV conversion kuchangamkia fursa kwa sasa ili kubadili mfumo wa uendeshaji gari kutoka petrol kwenda umeme

    Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
  3. JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme Kariakoo

    Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako? 💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡 ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. Kutoka Kampuni zote mahiri kama vile; ABB, TRONIC...
  4. JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme

    Tunauza na kutengeneza vifaa bora na imara vya umeme wa minara, viwanda, umeme wa nyumbani, visima, motors n.k jumla na rejareja Tunafanya delivery ndani na nje ya Tanzania Tupo Kariakoo 📍 Kwa huduma za kuridhisha, wasiliana nasi sasa Kwa whatsapp namba +255764379293
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika

    Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Hii ni kero, tumejaribu kuwasilisha kero zetu wanasema wanakuja kuongeza transformer Kwa ajili ya kuongeza umeme lakini hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme vya kisasa, Kariakoo

    📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa. Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa: 🎯Viwanda 🎯Majumbani 🎯Minara n.k Tunapatikana Kariakoo, Narung'ombe na Gogo. Tunatuma Tanzania na nje ya Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa bora vya umeme wa majumbani, minara, viwanda, pump za visima, n.k

    Je, Umekuwa ukijiuliza utapata wapi vifaa bora vya umeme kwa bei nafuu zaidi? Rafiki Electrical & Tech Solutions, Niwauzaji, wasambazaji na watengenezaji wa vifaa bora sana vya umeme wa Nyumbani, Minara, Viwanda n.k hapa Tanzania na Nje ya Tanzania. Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Narung'ombe na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojikuta kwenye Carrier ya umeme. Ni miujiza, nilizaliwa kwa ajili hii

    Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme, Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo nilipenda sana mwanga na kuvutiwa na kila kitu cha electronics, licha ya tabia hii kunifanya nipigwe...
  10. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  11. JamiiForums Tanzania BMW wamezindua BMW i3 Sedan | Hii ni 3 Series ya Umeme!

    Ni wazi 3 Series ndio gari BMW waliyouza kwa wingi kuliko model yoyote hadi sasa. Sasa kuendana na teknolojia, wameiletea EV yake, inaitwa i3. Cha muhimu kabisa ni range ya 900 kilometa na power ya 460 hp. Battery lina 100 kWh na charging system ya 800v architecture (DC fast charging inakupa...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Magari ya umeme ya China yaingia barabarani Tanzania huku magari ya nishati safi yakishika kasi

    Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China. Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  15. JamiiForums Tanzania KERO Kila siku TANESCO wanakata umeme jioni Pugu Majohe hadi imekuwa kero

    Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku. Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
  16. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuhamisha unit za umeme wa Single phase kutoka meter moja kwenda meter nyingine?

    Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine? Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wapangaji wenzangu, mnakabiliana vipi na jirani asiyetaka kulipia bili ya maji na umeme?

    Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote? Huyu jirani yangu kanishinda tabia walahi, angekuwa bidhaa ningemgawa bure kabisa maana hafai msikitini wala kanisani, hafai kwa mchuzi...
  18. JamiiForums Tanzania Waliokuja na mawazo ya treni ya umeme pamoja na BRT za LNG waliona mbali sana

    https://x.com/silvertrade/status/2027783355656261817?s=20
  19. JamiiForums Tanzania TANESCO Simanjiro: Je, mnatupa Umeme au mnatulisha "Radhi" za WhatsApp?

    Wakuu wa JamiiForums, habari za muda huu. Nimekuja hapa kuelezea machungu ya sisi wananchi wa Wilaya ya Simanjiro, hususan maeneo ya Terrat, na vijiji vyote vinavyopata umeme kupitia njia za Sinoni na Monduli. Kiukweli hali ya umeme huku kwetu imekuwa ni kero isiyovumilika,Sijui kwa maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…