umeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboreshwa mfumo wa luku za umeme (mfumo kiganjani)

    CHANGAMOTO. LUKU kuisha kwa na umeme kukatika pasipo watu kuwa na taarifa SULUHISHO kuunda mfumo wa KIELECTRONIC utakao gundua LUKU kuisha na kutuma sms kwa mteja mfano kiasi Cha LUKU kilicho Baki ni 5% kumpa angalizo pasipo kuangalia umeme mwenyewe Kuunda mfumo wa kutuma control number kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

    Mmekata umeme toka saa mbili asubuhi bila taarifa yoyote hadi muda huu hamjarudisha tuelewe vipi ?Mgao umeanza au?
  3. JamiiForums Tanzania Tanesco: Katizo la umeme June, 23

  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  5. JamiiForums Tanzania Mradi wa Julius Nyerere wakamilisha mtambo namba nane na kuingiza umeme kwenye Gridi ya taifa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa. Dkt Biteko ametoa taarifa hiyo tarehe 14 juni 2024 wakati akizindua taarifa za...
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza chanuo la umeme la kisasa

    Jipatie chanuo la umeme kwa bei nafuu ya Tsh 45,000 tu Bidhaa hii inatatua changamoto zifuatazo: 1. Kuzuia nywele kuwa ngumu: • Inafanya nywele kuwa laini na , hata katika hali ya hewa yenye unyevunyevu. 2. Kung’arisha Nywele: • Inaongeza mng’ao kwenye nywele, hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile aongoza safari ya kwanza ya Treni ya Umeme (SGR) Dar - Morogoro Julai 14, 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
  8. JamiiForums Tanzania FUNDI MADISH NA UMEME NIPO HAPA(0749247920)

    Fundi umeme na madish aina zote nipo hapa kwa mkoa wa dar napatikana muda wote nipigie simu nakuja popote pale 0749247920
  9. JamiiForums Tanzania Kagera: TANESCO kuokoa kiasi cha Shilingi bilioni 30 kila mwaka baada ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya Benaco-Kyaka

    TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA 📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Benaco - Kyaka Na Charles Kombe, Dar es Salaam Shirika...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  11. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kupunguza bei ya umeme kuchochea shughuli za kiuchumi

    Kukamilika Kwa bwawa la umeme la Nyerere kumepelekea Taifa kuwa na umeme wa kutosha. Nashauri huu ni wakati muafaka Kwa serikali kupunguza bei ya umeme (token) Ili kupunguza gharama ya maisha na kuchochea shughuli nyingi za uchumi zinazotegemea umeme. Raisi Samia ana pigia chepuo matumizi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  13. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umeme haujakatika

    Tuwe waadilifu wajameni, tuliolaumu sanaaaa, sasa tupongeze sanaaaa, Hongera Doto, hongera mama, hongera Tanesco Kanyaga twende
  14. JamiiForums Tanzania Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    TV yako haiwaki? TV yako inajizima? TV yako unasikia sauti huoni picha? TV yako inawaka nusu hazijazi kioo? TV yako imeingia giza upande mmoja? TV yako imeua taa? TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu? TV yako inawaka taa nyekundu tu? TV yako haina sauti? TV yako inaonyesha mistali? TV...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

    Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3 Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom. Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Fundi umeme na madishi na kufunga mapazia

  17. JamiiForums Tanzania Mradi wa JHNPP umeondoa mgawo wa Umeme

    Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia Tanzania ikiwa na umeme unaowaka mfululizo kama mwaka huu 2024 baada ya JHNPP kuanza uzalishaji. Kwangu ni...
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukata umeme kwa saa tatu Mbeya

    Basi ndio hivyo bana ndugu zangu wa Mbeya kama mlivyoona, kikubwa wekeni mambo yenu sawa kabla ya Tanesco kufanya yao!
  19. B

    JamiiForums Tanzania KERO Shinyanga DC: Siku ya tatu umeme haujarudishwa Didia, kwenye nyumba ya Yoyo baada ya gari la mnadani kukata nyaya za umeme

    Hii imetokea Kijiji Cha DIDIA wilaya ya SHINYANGA DC ambapo ni SIKU ya Tano tangu ilipotokea dharura ya kugongwa na gari nyaya za umeme zinazokatisha barabarani. Kutokana na CHANGAMOTO hiyo tangu tarehe 3/5/2024 hadi 7/5/2024 bado umeme haujaunganishwa KATIKA nyumba hiyo na zaidi wametoa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

    Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…