umeme

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Umeme wa JNHEPP hautoshi kuendesha SGR? Mbona kama ni maajabu?

    Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa. Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu. SGR yenyewe ndo mnajionea, Wamiliki wa Ma Bus hao 🤣. Sio kwamba Hana Taarifa, anazo sema anazipuuza ...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Capacitor ya 9uf 450v

    Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

    Habari wana-JF. Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme. Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111). Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shida hii ya Umeme Tunduru mpaka lini?

    Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni. Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
  5. D

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi TANESCO mna shida gani yani siku hizi umeme unakatika na kuwaka kwa siku hata mara 10

    Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika wanawasha. Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.
  6. JamiiForums Tanzania China inapanga kujenga bwawa la umeme kubwa zaidi

    Serikali ya China inapanga kujenga bwawa la umeme lengine kubwa zaidi duniani mara tatu la sasa Three gorges dam lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 22,500 MW lilipo Yangtze River, Hubei province. Three Gorges Dam Bwawa hilo jipya litakalo jengwa Yarlung Tsangpo river ndani ya Tibet litakuwa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufuta leseni yako ya ukandarasi wa umeme

    Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini umeme unaendelea kukatika hata baada ya bwawa kubwa na gesi nyingi Tanzania?

    Wengi Tanzania, East Africa, SADC, Africa na Dunia nzima tuliamini Tanzania imejiunga na mataifa yenye umeme mwingi wa uhakika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuwa kuwa na kiasi kikubwa cha gesi, lakini wapi bwana shida Iko palepale na vilevile. Umeme unaendelea kukatika...
  9. JamiiForums Tanzania MBEYA: Je, TANESCO na REA mmeishiwa nguzo mpaka mnafunga nyaya za kusambazia umeme kama kamba za kuanikia nguo?

    Hapa ni kitongoji cha Hasengo, kijiji cha Shibolya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, Ni jambo jema na tunashukuru huduma ya umeme imetufikia kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini REA, baada ya kutokuwepo kwa huduma hiyo muhimu tangu kupata uhuru wa nchi hii. Bila shaka usambazaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya Kutumia Submeter ya Umeme

    Hapo pichani ni Submeter ya Umeme niliyoikuta kwenye nyumba ya kupanga Ina namba ya mita yenye tarakimu sawa na ya TaNeSCo. Naomba kufahamu Inafanyaje kazi
  11. JamiiForums Tanzania Gissima Nyamo-Hanga: Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua kwa kutumia Treni ikiwa kwenye mwendo wa kasi

    Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu linalolenga kukuza matumizi ya nishati safi na endelevu. Treni hizi, kama vile zile za SGR, zinaweza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania BWAWA LA UMEME JNHPP 1,075

    20 December 2024 BWAWA LA UMEME JNHPP Sasa linazalisha Megawatts 1,075 kati ya Megawatts 2115 https://m.youtube.com/watch?v=uurfxrQkAi8 Vinu namba 9, 8, 7, 6 na 5 sasa vimekamilika hadi leo 18 December 2024 na huku vinu namba 4, 3, 2 na 1 kazi ya usimikaji inaendelea. Kazi zote za...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kubangulia korosho iwe to natumia umeme

    Za mapambano wadau Natafuta mashine za kubangua korosho iwe ya umeme
  15. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Nyamo-Hanga: Mashine tano Mradi wa JNHPP zimekamilika kwa 100% na zimeanza uzalishaji wa umeme

    Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hitilafu kubwa ya umeme yaikumba Kenya, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi

    Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo ya Magharibi na eneo la Bonde la ufa kuanzia majira ya saa sita na robo usiku. Kupitia taarifa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu leo, kariakoo katikati na sina umeme, tanesco wanasema wanakuja na hawafiki

    Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne? Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje? Hawajawahi kuwa serious
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

    Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana...
  19. JamiiForums Tanzania Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

    Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut Mfano TRC wanataka kununua engine za...
  20. JamiiForums Tanzania Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

    Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…