umeme

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

    Eti wakuu, kwa mfano nguzo ya umeme ikianguka (mfano Kigamboni) na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Hadi Zanzibar au mpaka Ulaya?? Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
  2. JamiiForums Tanzania Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

    Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token. Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako. Watumiaji watakua na...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Mbagala Chamanzi Umeme unakatika siku Mbili Mfululizo. TANESCO Vipi?

    Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho. Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

    Members nawasalimu, Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ? Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kupeleka umeme Vitongoji 9,000 mwaka wa fedha wa 2025/26

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa madini waiangukia serikali walia na upatikanaji wa umeme migodini

    Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma ya umeme kwenye migodi yao ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji, kukuza uchumi wao na kuongeza makusanyo ya maduhuri kwa serikali. Ombi hilo limewasilishwa leo wakati wa ziara ya Mkuu wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco toeni taarifa mnapokata umeme

    Mnatutia hasara sana. Kipindi cha JPM mlikuwa mnatoa taarifa siku moja kabla ya kukata umeme ,pia mlikuwa mnakwepa kukata umeme kwa kumuhofia JPM. Sasahivi kukata umeme siku nzima ni kawaida tena bila kutoa taarifa. Mnaboa sana nyie watu. I wish Mama afanye mabadiliko TANESCO kuondoa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Habar zenu wadau kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa inayotumia mafuta na umeme ipo sokoni inauzwa

    Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua Bei yake ni 950000 WhatsApp 0686298896 Location .dodoma
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya Barabara na changamoto ya umeme ni kero Mtaa wa Mganza – Morogoro

    Juzi nilikuwa Morogoro kwenye Mtaa wa Mganza, Kata ya Mindu, nilikutana na moja ya changamoto ambayo ukweli inawaumiza Wakazi wengi wa hapo. Nilichokiona ni kuwa Wananchi wengi wa hapo wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya Barabara hali ambayo imesababisha athari kadhaa hasa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  12. JamiiForums Tanzania MASHINE YA UMEME YA KUSAGA KARANGA

    Jipatie mashine ya kupukuchua na kusaga karanga inayotumia umeme kidogo. Ni kwa wajasiriamali wanaopenda kupanua fursa zao , hii mashine inauwezo wa kukupukuchulia karanga zilizokaangwa na kusaga karanga laini sana. Piga 0744200166
  13. JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa kukamilika, inatarajiwa kuzalisha umeme kiwango cha Megawati 2115 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwezi Mei...
  14. JamiiForums Tanzania Submita kata Umeme

    Tumia unit zako mwenyewe bila kushea na wengine. Je unaishi kwenye nyumba ya kupanga na kuna changamoto ya matumizi Umeme? Au wewe ni mmiliki wa Nyumba za kupangisha na kila siku watu wanagombana kwa sababu ya Umeme? Basi suluhisho limepatikana. Fungia kila mpqngaji Submita ya kisasa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  16. JamiiForums Tanzania Umeme wa jua kuongeza unafuu Shinyanga

    UMEME WA JUA KUONGEZA UNAFUU SHINYANGA Mradi wa umeme wa jua unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu Mkoani wa Shinyanga unaendelea ambapo kwa awamu ya kwanza mradi unatarajiwa kuzalisha Megawati 50 na baadae Megawati 100 kwa awamu ya pili zitakazoongezeka na kufanya jumla ya Megawati 150...
  17. JamiiForums Tanzania Kuvuta umeme kwenye nguzo za transfoma

    Naomba ishauri kama inawezekana ,najua humu wapo wazoefu na mafundi wenyewe. Nimejenga kajumba kakuishi sasa nimeweka bajeti ya umeme sasa nilisikia kuna kununua nguzo hilo mimi sikujali maana hapa jirani yangu ng'ambo ya barabara kama mita 20 pana transfoma hii ndio inasambaza umeme mtaa huu...
  18. JamiiForums Tanzania Sagini ameagiza TANESCO na REA kueleza vigezo vinavyotumika kuunganisha umeme kwa Sh 350,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu kwa wananchi wa Sirorisimba juu ya vigezo vilivyotumika mpaka kufikia kutoa huduma kwa shilingi...
  19. JamiiForums Tanzania Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme

    Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53 Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38 Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji 4,071 na vitongoji 188, katika awamu ya tatu, mzunguko wa pili. Miradi hii ni sehemu ya juhudi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…