Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa rasmi ya hitilafu kubwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa, iliyotokea majira ya saa 2:36 asubuhi na kusababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika mikoa yote inayounganishwa na gridi hiyo.
Kwa mujibu wa TANESCO, timu ya wataalamu inaendelea...