Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Hii ni kero, tumejaribu kuwasilisha kero zetu wanasema wanakuja kuongeza transformer Kwa ajili ya kuongeza umeme lakini hakuna...
Anonymous (66bb)
Thread
kukatika
mwaka
tanesco
transfoma
umemeumeme kukatika
📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa.
Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa:
🎯Viwanda
🎯Majumbani
🎯Minara n.k
Tunapatikana Kariakoo, Narung'ombe na Gogo.
Tunatuma Tanzania na nje ya Tanzania...
Habari Tanzania !..
Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?..
Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
Je, Umekuwa ukijiuliza utapata wapi vifaa bora vya umeme kwa bei nafuu zaidi?
Rafiki Electrical & Tech Solutions,
Niwauzaji, wasambazaji na watengenezaji wa vifaa bora sana vya umeme wa Nyumbani, Minara, Viwanda n.k hapa Tanzania na Nje ya Tanzania.
Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Narung'ombe na...
Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme,
Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo nilipenda sana mwanga na kuvutiwa na kila kitu cha electronics, licha ya tabia hii kunifanya nipigwe...
Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia.
Kwa muda mrefu...
Ni wazi 3 Series ndio gari BMW waliyouza kwa wingi kuliko model yoyote hadi sasa.
Sasa kuendana na teknolojia, wameiletea EV yake, inaitwa i3.
Cha muhimu kabisa ni range ya 900 kilometa na power ya 460 hp. Battery lina 100 kWh na charging system ya 800v architecture (DC fast charging inakupa...
Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu?
Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China.
Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kero
kero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.
Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine?
Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote?
Huyu jirani yangu kanishinda tabia walahi, angekuwa bidhaa ningemgawa bure kabisa maana hafai msikitini wala kanisani, hafai kwa mchuzi...
Wakuu wa JamiiForums, habari za muda huu.
Nimekuja hapa kuelezea machungu ya sisi wananchi wa Wilaya ya Simanjiro, hususan maeneo ya Terrat, na vijiji vyote vinavyopata umeme kupitia njia za Sinoni na Monduli.
Kiukweli hali ya umeme huku kwetu imekuwa ni kero isiyovumilika,Sijui kwa maeneo...
Kwa niaba ya wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe mkoa wa Pwani, tuna changamoto ya ukosefu wa Umeme wa uhakika.
Haiwezi kupita siku bila umeme kukatika, pamoja na kuwa tunapeleka malalamiko yetu kwa wahusika.
Si Mkuu wa Wilaya wala Meneja wa TANESCO Mkuranga, ambaye amejitokeza...
Anonymous (67f4)
Thread
hatuna
hatuna umeme
kongowe
lazima
pwani
siku
uhakika
umeme
wakazi
Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
Anonymous
Thread
kimya
kukatika
kukatika kwa umeme
mamlaka
mvomero
sugu
tatizo
umeme
wilaya
wilaya ya mvomero
Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako?
💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI
Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡
ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA!
Kutoka Kampuni zote...
My Take
Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao.
Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇
====
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.