umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

    Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu. Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao. Naogopa...
  2. GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya wajasiriamali kimafunzo, kisera na kimikopo, wafanyabiashara wadogo na kuwawezesha vijana pamoja na mpango wa...
  3. Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

    Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania. Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59? Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
  4. Tunahitaji kuzalisha ajira, kukuza uchumi, kupunguza umaskini na kuboresha hali za maisha. Je, tuanze na lipi?

    Hiki ni kipindi cha siasa na kama kawaida huwa napenda sana kupita katika vijiwe vya kahawa kujadili kuhusu uelekeo wa siasa zetu na maendeleo yetu. Katika vijiwe vyote nilivyopita pembeni ya kukuta watanzania wengi wakiwa bado na ile mitazamo ya ajabu ajabu kuhusu siasa na maendeleo kuna mambo...
  5. Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

    Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje. Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo...
  6. Jinsi wafanyakazi tunavyoingia kwenye wimbi la umaskini

    Habari wakuu! Hii mada haiwahusu tu watumishi wa umma bali wafanyakazi karibu wote walioajiriwa kwa masharti ya kudumu Tanzania 1. Hatua ya kwanza: Mtu anakuwa amebeba maono makubwa . Hapa wapo wanaowaza wakipata kazi ndoto zao za kumiliki kampuni, shule au biashara kubwa zitatiki kwani tayari...
  7. Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

    Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini. Umaskini mbaya wazee. Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo...
  8. Je, kama haki za kuishi na kuendelea ziko juu ya haki nyingine zote za binadamu?

    Ni jambo lisilopingika tukisema kuishi vizuri na kupata maendeleo ni msingi wa binadamu kufanya shughuli nyingine. Mtazamo huu uliosisitizwa na rais Xi Jinping wa China sio tu unalingana na hali halisi ya nchi yake, bali pia unafaa kwa nchi mbalimbali za Afrika, hasa janga la Corona...
  9. J

    CCM tukumbushane majimbo yaliyotopea kwa umaskini baada ya kuongozwa na upinzani ili tuyakomboe tukianza na Rombo

    Ikumbukwe kuwa sasa tupo kwenye uchumi wa kati mdogo hivyo jitihada zinahitajika ili tuweze kupanda na kufika $4000 per capita. Hivyo niwaombe tuorodheshe majimbo maskini ili tuyafanyie mkakati maalumu bila kujali itikadi zetu na misimamo yetu ya kisiasa na kimaendeleo. Mimi naanza na jimbo la...
  10. Je, kuna uhusiano gani kati ya umaskini na ubilionea? Mabilionea wakubwa wengi duniani wanatoka familia maskini hata wa hapa Tanzania

    Natafakari uhusiano wa ubilionea na umaskini Ukiangalia mabilionea wote wanaoongoza duniani wamezaliwa familia duni au za kawaida tu wakiwemo akina Bill Gates. Ukija Tanzania Bilionea Bakheresa alizaliwa familia ya kimaskini tu. Ukija akina Reginald Mengi hivyo hivyo wametokana na familia...
  11. Sababu ya umaskini Afrika sasa ni dhahiri

    Naomba kutumia mifano ya vijana wawili; Esau na Yakobo Esau alikuwa mwindaji na Yakobo alipenda kukaa nyumbani (mfugaji, mkulima) • Esau anategemea kuamka asubuh kwenda kutafuta chakula(kuwinda), bila kutoka siku hiyo anashinda na njaa. Tatizo lake sio kwamba ni mvivu, hapana tatizo lake ni...
  12. “Natumai watoto wa maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na Vyuo Vikuu bora”

    “Natumai watoto wa sehemu maskini pia wawe na fursa ya kujiunga na vyuo vikuu bora” Alichosema hayo ni Zhang Guimei mwenye umri wa miaka 63. Yeye ni mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya juu ya wilaya ya Huaping, mjini Lijiang. Hii ni shule maalum, ambayo wanafunzi wake wote ni wasichana kutoka...
  13. MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

    JamiiForums ni zaidi ya habari, nami nimeona niweke hapa kisa ambacho kinaweza kuwa funzo/somo kwa vijana wengi watafutaji hasa wanaopenda shortcut. Mtanisamehe kwa uandishi wangu mbovu na mpangilio wa visa. Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji...
  14. Kiapo: Nitafanya lolote ili niondokane na umaskini

    Zamani nikiwa mwinjilisti mdogo niliyejaa moto nilisema kuwa matatizo makuu yanayowakabili wanadamu wa kizazi cha leo ni matatu; Dhambi, umaskini na magonjwa. Sasa hivi nimegundua kuwa ile arrangement yangu haikuwa sahihi na kwamba natakiwa niyapange hivi ; 1.Umaskini 2.Magonjwa na 3.Dhambi...
  15. J

    Askofu Gwajima: Waafrika tumepitia taabu nyingi kuanzia Utumwa, ukoloni, magonjwa na umaskini tukashinda hata Corona haitatuweza

    Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma. Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania...
  16. Dkt. Albina Chuwa, Kauli yako kuhusu kupungua kwa umaskini ni kejeli kwa Watanzania

    Amesema Dkt Albina Chuwa Mkurugenzi wa Takwimu. ameyaongea juzi tarehe 17/ 02/ 2020, Ninamnukuu; “Hali ya umaskini wa kipato hapa nchini Mwaka 1991-92 ulikuwa Asilimia 39, 2007 umaskini ulikuwa asilimia 34, 2012 Asilimia 28.4 na 2018 hali ya umaskini likuwa 26.4, kasi ya kupungua umaskini hapa...
  17. Kama kuna kaya hata moja hapa nchini iliyoondokana na umaskini kupitia TASAF, basi nipigwe radi!

    Literally nashindwa kuona how a sane person anaweza kuamini kwamba kumpa mtu shs. 2,000= , 3,000/= nk. kwa mwezi inaweza kumuondolea umasikini huyo mpokeaji wa hizo monthly handouts, nisaidieni, how mtu huyu anaondokana na umasikini? HOW? Lengo la TASAF ni nini hasa?
  18. TASAF: Hali ya Umaskini Tanzania yapungua, Makonda atakiwa kurejesha fedha za TASAF kama alizitumia

    Imeelezwa kuwa takwimu za hali ya umaskini wa kipato hapa nchini kwa mwaka 2017, zimepungua kwa kiasi kikubwa na kufikia asilimia 26. Hayo yamebainishwa leo Februari 17, 2020 na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt Albina Chuwa na kusema kuwa jukumu la kuondoa umaskini kwa...
  19. Je, HESLB ina mchango katika kutokomeza umaskini?

    Wanabodi, poleni na majukumu pamoja na misiba iliyowakuta wenzetu wa moshi baada ya kukanyagana wakati wakati wakikanyaga mafuta ya upako chini ya neno la unabii kutoka kwa mtumishi mwamposa mnamo 01.02.2020 Pili, naendelea kupongeza juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa kuongeza utoaji wa...
  20. M

    Ujinga, Umaskini na Maradhi ni mtaji mkuu wa wanasiasa wa Tanzania

    Nimesikitika sana kuona kuwa katika maadui wakuu wa tangu kale 1. Ujinga 2. Umaskini 3. Maradhi Kwa WANASIASA wa leo hao ndio marafiki wao wakuu katika kutimiza agenda zao na uovu wao. 1. UJINGA Tunawekeza kwenye ujinga wa watu wetu. Kama sio ujinga wa watu wetu VIONGOZI wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…