umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Rostam: Umasikini siyo jambo la kujionea fahari

    Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa kutokuuona Umasikini kama jambo la fahari au la kawaida. Watanzania wengi imesemekana tunauona Umasikini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuandika hapa kumhusu Gerson Msigwa kuwa ni Mtu mwenye Umasikini wa Akili wa Kudumu sikueleweka, ila sasa naamini mmeshanielewa

    Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Masikini hana chakupoteza akipoteza labuda kapoteza umasikini wake

    Watanzania msifikir kucomment na kupost ndo inatosha kupaza sauti zenu kudai HAKI dhidi ya viongozi wabinafsi bali watawapuuza kama vile hawajawaona. Marekani waliandamana Hadi bungeni na ikulu kumpinga Trump Nyie endeleeni kukaa kama wafu mtegemee mtu mmoja awapazie sauti wakati umoja ni...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa MKRISTO: Umasikini wa kipato/Fedha/Mali ni matokeo ya Shambulizi la KIROHO

    Kuishiwa na KUWA ombaomba sio mpango wa Mungu KWA MKRISTO. Kwa hiyo huwezi kujisifia kuishiwa, mbango wa Mungu ni watu wasiwe tegemezi kiuchumi KWA wateja wao ( wasiomuamini Mungu). Msisitizo uliotolewa. 1: Umasikini ni laana ( Torati 28). Yesu ametukomboa na laana ya TORATI. 2: Mcha Mungu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena!

    Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu na suluhisho la matatizo?
  6. fact only

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni chanzo Cha Mabaya (Umasikini ni ulozi)

    Habari wana JF. Umasiki ni chanzo Cha Mabaya kero, Uchawi, ulozi, kunuka jasho, wivu, ukatili n.k. Masikini ndiyo mtu wa kwanza kuingia Motoni hata kama ulikuwa unasali sana kama umekufa masikini ni Motoni moja Kwa moja. Kwasababu. Umasikini unakufanya muda wote unawaza mabaya Mabaya...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agenda ya Wananchi katika uchaguzi sio katiba bali ni maswala ya Elimu,Maradhi na Umasikini

    Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi. Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru. Bado kama Taifa hatujakamilisha kwa kiwango stahiki utekelezaji wa agenda na maono haya muhimu yaliyowahi kutajwa miaka hiyo...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

    Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM

    Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama. Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia. Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
  10. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Serikali irudishe baadhi ya maeneo ya bonde la mto Kilombero kwa wananchi kuwanasuru wananchi hao na wimbi la umasikini.

    Hali ilivyo katika maeneo mengi ya bonde la Kilombero ni ya kusikitisha sana. Maeneo karibia yote yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za kilimo yamechukuliwa na serikali kwa kigezo cha kuhifadhi ardhi oevu na pia kuhakikisha mradi wa umeme wa bwawa la mwalimiu Nyerere una sustainability...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa

    Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

    1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue. 2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji PRELUDE...
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD: Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili

    Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili tunaposema CCM na Rais Samia wanachapa kazi muwe mnatuelewa,Benki ya Dunia sio CCM. Hata kama mnapiga kelele ila mfahamu umasikini wa msosi Tanzania kwa mujibu wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lumbesa inatuongezea umasikini Mbeya

    Sasa hivi Mbeya ni kama serikali iko likizo kwa jinsi wafanyabiashara wanavyopora wakulima mchana kweupe. Ukiangalia Lumbesa ya gunia la viazi huwezi kubisha kwamba mkulima hapati chochote. Yaani heka moja ungeweza kupata gunia za viazi 70 kwa sababu ya Lumbesa utaambulia gunia 52! Viongozi...
  15. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupitia msoto maishani hadi ukajuta kuzaliwa?

    Umasikini ni kitu kibaya sana, -Utadharauliwa -Utasimangwa hata na watu wako wa karibu -Utaaibishwa na kudhihakiwa -Hakuna atakaekujali kwa sababu huna kitu -Kwenye vikao vya ukoo huwezi kuwa na sauti, ukiongea utaonekana unataka kuleta fujo In short ndugu zanguni tutafute pesa kama vile...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Ay aliimba yule anampenda jinsi alivyo simple lakini akasema anaweza asimpate kwa umasikini wake

    Ni NYIMBO ya muda mrefu sana nafikiri wakati huo watoto wa 2000 WALIKUWA bado hawaja vunja ungo, so alikuwa anaongelea watu wa miaka ya 90's na 80's. Kumbe bhana UMASIKINI ni Moja ya factor ambayo inaweza kukufanya usipate mke au mpenzi. Hivyo basi huu wimbo inaniambia kwamba endeleeni kutafuta...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni Mbaya sana, na unatumiwa na CCM, fikiria watu wanasombwa na Malori kwenda kuwaona watu wanao panda V8

    Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa. Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mkomunisti aliyechukia umasikini na kuupenda utajiri aliifufua China toka kuzimu [ Dikteta bora wa Kiasia mzaliwa wa China Deng Xiaoping ]

    Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia shimoni mwa umasikini uliotopea na mvurugano mkubwa wa kisiasa. Deng Xiaoping alinusurika kuuwawa na...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Umasikini umetengenezwa na CCM

    Huu ndio umasikini walioutengeneza CCM miaka 64 ya Uhuru Angalia hayo mabanda kilombero ambako panasikika kuzalisha Mchele Bora kabisa duniani.
  20. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu, " Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa...
Back
Top Bottom