Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili.
Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni huzuni ambayo inavunja moyo kwa kiwango kisichoweza kuelezeka.
Fikiria familia yako, wakiketi mezani...
Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K
Msosi 20K
Nauli 5K
Asante kwa kuja 30K
Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo.
Kwanini...
MAISHA NDANI YA UMASIKINI NI DARASA TOSHA.
Kuna msemo unasema, "Umasikini ni mbaya tena unatia haya." Nami nakubali kwamba umasikini ni mbaya sana, tena siupendi.
Kwa wale waliopitia maisha ya umasikini au wale wanaopitia sasa maisha ya umasikini wanaweza kunielewa vizuri bila shaka.
Lakini...
Huu ni utafiti wangu nimefanya kwenye miji mikubwa na hata vijijini kwenye kila mkoa hapa Tanzania
Ni Watanzania wachache sana ambao wanamudu kula milo 3 na hasa kipengele ni breakfast (mlo wa asubuhi)
Utakuta watu wanaenda mashambani, kazini na wanafunzi wanaenda shuleni hawajala chochote...
yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu.
UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa na kudharauliwa.
Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho
I. Suala la Uhaba wa Ajira
II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili
I. UHABA WA AJIRA
Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
Hivi ni mimi peke yangu naliona hili?
Mbona nchi yetu masikini jamani. Mimi nimezaliwa Ruangwa huku Lindi mara nyingi nimeona watu wakipakandia Lindi kwa umasikini hususani mitandaoni, mimi nikadhani ni huku tu hali ni mbaya, mpaka nilivyopata exposure. Maeneo mengi nilizunguka zamani utotoni...
Huyo Msafwa wa Mbeya Clemence Mwandambo nampinga kwa vingi ila katika hili ana uzito
Umasikini utakufanya utengwe hadi kanisani
Ukiwa masikini sahau kuzikwa na maaskofu utazikwa na wasaidizi.
Ukiwa masikini utatengwa na watu, ukiwasogelea wanahisi unataka kuwaomba hela.
Ukiwa masikin huna...
Imezoeleka familia ikiwa tajiri basi ni baba, na je? mwanamke anawezaje? kusababisha umasikini ndani ya familia?
Naongea hivo kwasababu mm nikipanga malengo ila kila ukizuka ugomvi mipango yote inaharibika.
Swali la ujumla ni je familia isiyokuwa na amani je inaweza kuwa na maendeleo?
Umasikini ni mbaya sana kiukweli nipo kwenye health services nikiwa mfanyakazi kiukweli naona jinsi watu wanavyo strugle kulipia huduma ya matibabu na jinsi wanayohangaika mpaka utawaonea huruma yaani kuna mtu unamshauri nenda kwenye high level of health facility lakini anakulilia wewe umsaidie...
Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa kutokuuona Umasikini kama jambo la fahari au la kawaida.
Watanzania wengi imesemekana tunauona Umasikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.