umafia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijakazi

    Umafia wa Zanzibar una historia!

    hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu. https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
  2. Fbn

    Hakuna kuwapa DMZ hawa CCM hapa JF ni kama tunawapa taarifa tunatakiwa kuwafanyia umafia kama wafanyao wanaofunga ndoa.

    DMZ kwa wanauchawa wa IT wa CCM sijui kama wanafahamu ila limegawanyika kimaana ila zote ni sawa.DMZ maana fupi ni usalama wa matandao.Kwa upande mwengine utumika kama mipaka (Demilitarized Zone). Kuingilia mitandao na vyombo vya habari CCM ni kwamba wanaona watu wanasanuka na kuwaacha uchi...
  3. technically

    Je, Kikwete alikuwa dikteta? Kwanini umafia wake unafichwa?

    Kifo Cha Chacha wangwe Kifo Cha utata Cha Amina chifupa Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank! Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari. Kupigwa Kofi kwa Jaji...
  4. The Dictator

    Umafia umeanza kukomaa nchini; je, kuna watu bado wanaamini JPM alikufa kwa ule ugonjwa?

    Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari. Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
  5. K

    Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

    Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa. Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Itilima asema alijiunga CCM baada ya Mzee Manyoni kugushi saini yake, CCM wanazidi kuuthibitishia umma huwa wanafanya umafia kwenye uchaguzi

    Mbunge wa Itilima amesesema alijiunga CCM baada ya Mzee Manyoni ambaye kwa sasa ni katibu wilaya ya Itilima kugushi saini yake, CCM wanazidi kuuthibitishia umma huwa wanafanya umafia kwenye uchaguzi hapa wanaonesha kuwa huo ndio utamaduni wao. Hata kura feki ambazo huwa zinakamatwa kipindi cha...
  7. C

    Wanafunzi wa Sekondari Mangamba day wamfanyia umafia mwalimu wao kwa kisa ambacho hakina uthibitisho

    Ni ijumaa nyingine tena tukiwa tuna uanza mwezi mpya wa November. ALLAH atujalie kila lililo la Lessons from the stories Walimu acheni tamaa za muda mfupi hawa wanafunzi ni kweli wanavutia kwa macho ila jela sio nzuri na mwisho wa siku unapata aibu ww na familia yako Wivu umehusika hapa huyu...
  8. G

    Wafanyabiashara tunaotaka kuuza bidhaa nje ya nchi tunakatishwa tamaa kwa rushwa, hadi kujuana na wakubwa na umafia uliokithiri, Kuna mbadala?

    Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k. KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO Ni hadi uunge chain ili uuze nje sio kienyeji tu, kuna vyama vinaundwa vya watu wanaouza nje lakini...
  9. OMOYOGWANE

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
  10. sky soldier

    Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

    Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara Kundi A Vital’o Azam FC Chipukizi United Mlandege...
  11. KING MIDAS

    Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

    Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa. Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu. Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili...
  12. sky soldier

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe. Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao...
  13. sky soldier

    Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

    Watu huwa wanasema mnyama hatari asie na huruma ni Mbwa mwitu na fisi lakini mimi niseme kwamba kuna wanadamu ni wanyama hatari kuliko kiumbe chochote Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate. Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana...
  14. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

    Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC. Haya...
  15. M

    Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

    Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe. Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao...
  16. GENTAMYCINE

    Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa. Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya...
  17. GENTAMYCINE

    Hivi inawezekana Green Guards wa CCM na UVCCM wakafanya 'Umafia' bila ya 'Baraka: za 'Owner Chair' wao Taifa?

    GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo. 'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
  18. M

    Kinachoendelea kwenye akaunti za benki za watu ni umafia

    Natanguliza salamu kwa unyenyekevu kabisa. Juzi kati nilienda benki nje kwenye ATM kuuliza salio. Salio lilionesha laki kadhaa na elfu kumi. Sikutoa hata mia, nikajisemea moyoni hata kesho naweza kuzitoa kwanza zipo sehemu salama. Siku iliyofuata nilienda tena ATM niliona bora nitoe pesa zote...
  19. GENTAMYCINE

    Hatimaye wenye Simba SC yao ( Wazee wa Fitna na Umafia ) wamerejea rasmi Kuirudisha Simba SC tuliyoizoea

    CEO Barbara Gonzalez Siku zingine uache kuwa Mbishi hasa pale ukiwa unashauriwa kuwa pamoja na kwamba Wewe ndiyo kila Kitu kwa upande wa Malipo na Operations za Klabu ila ni lazima utambue kuwa huwezi kuwa na Mafanikio kama utawaweka pembeni Wazee wa Kazi Chafu na Umafia kwa Soka la Tanzania (...
Back
Top Bottom