umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mji wa Puer wajibebea umaarufu Asia Mashariki na kwingineko kwa uzalishaji wa Chai yenye ladha tamu ya Pu’erh

    Wakati nilipotembelea mkoa wa Yunnan moja ya mambo ambayo sitakuja kuyasahau ni kupita katika eneo maarufu la Chai ya Pu’erh. Katika safari yangu ya treni wakati natoka Kunming mji mkuu wa mkoa wa Yunnan kuelekea Xishuangbanna, tulipitia kituo kimoja kiitwacho Puer. Mji huu wa Puer ambao upo...
  2. Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  3. Pale umaarufu, trend na umashuhuru utakapohamia ndipo mwanamke anapoenda.

    Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za ki-soka Kuna wakati mwanamke mnene na makalio alionekana kama kama mzigo fulani hivi akawa...
  4. PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Wakuu Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
  5. Kwanini Sheikh Kipozeo umaarufu wake huja ikifika siku ya wapendanao na karibia na mfungo ramadhani?

    Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo. Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
  6. Watu maskini wana marafiki wa kweli, huku matajiri wakiwa na marafiki wa uongo wanaopenda pesa na umaarufu pekee

    Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao. Kwa wengi...
  7. Mnakumbuka umaarufu wa shule za St Mary's?

    Miaka hio ya 2000s hadi 2010s Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare Sijui zimeishia wapi siku hizi?
  8. Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

    Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
  9. Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  10. B

    Tundu Lissu azidi kujipatia Umaarufu, Aibukia kwa Shekh Othman

    Hii sasa ni balaa, speed inatisha. Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu. Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno ya kizalendo, ya kiutu na upenda kwa Taifa la Tanzania. Ni ukweli usiopingiza Tundu Lissu ameingia...
  11. Dullsykes amekazia kama unataka wanawake wazuri basi tafuta pesa ama umaarufu.

    Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu. Kuna member humu alishawahi kuandika wanawake wazuri ni kwa ajili ya mwanaume mwenye power binafsi napenda kuwakumbusha...
  12. PreGE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

    Muungwana haaminiki tena, Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena. Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya...
  13. R

    Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  14. Mfahamu Bubbles, sokwe wa Michael Jackson aliyejipatia umaarufu mkubwa Duniani

    Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood. Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo. Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
  15. Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

    “Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM Una maoni gani?
  16. U

    Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  17. Ni kweli umaarufu wa marehemu Kanumba ulikuwa ni zaidi ya Diamond Platnumz?

    Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
  18. Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  19. G

    Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

    Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k. Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ? Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ? Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
  20. Jinsi Jeshi la Polisi linavyoendeleza vitendo vya kukikandamiza chama Cha Chadema, ndivyo wanavyokiongezea umaarufu

    Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…