ulipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sitaacha kukupenda Sylvia popote pale ulipo.

    Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania. Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda Nilihudhuria mashindano yake mengi akiwa anagombea umiss Hadi akashinda, she is a Lady, a queen, a...
  2. JamiiForums Tanzania Marlow popote ulipo fanya remix ya kibao cha Bado Umenuna unaweza kurudi kwenye game

    Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna. Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza. https://youtu.be/hV7ECjCPBbQ?si=_YJETZ1JYb4nOiUD
  3. JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  4. JamiiForums Tanzania Chimbo la Jezi za Jumla za Ulaya, Delivery Popote Ulipo

    Wadau wa JamiiForums! ⚽️ Karibu Kariakoo! Tumeleta jezi za timu za Ulaya (Arsenal, Liverpool, Man United, n.k.) kwa bei za jumla! Hii ni fursa kwa kila mtu kupata jezi za timu pendwa kwa bei nafuu. Tunatuma mikoani na nchi jirani kama Congo, Zambia, na Malawi! Bei ya jezi moja ni TZS 15,000 tu...
  5. JamiiForums Tanzania HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  6. JamiiForums Tanzania Hapa ulipo Kuna umeme Leo?

    1. Singida hakuna 2. Mbeya hakuna 3. Arusha hakuna 4. Kilimanjaro hakuna
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mh. Jumaa aweso hapo ulipo "Unamuangusha mama Samia"

    Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa. Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu. Imagine watu wanatajabhata majina ya mitaa yao. Kimya . Hakuna ufumbuzi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya jua kali ulipo ikoje? TMA utabiri ukoje?

    Jua linawaka sana huku mikoani. Nadhani kuna sehemu kuna angalau mvua kidogo. Tupeane taarifa, One can shift from one region to another to look for agricultural opportunities Sehemu ambazo hata tone hakuna 1. Mwambao wote wa Bahari ya Hindi
  10. JamiiForums Tanzania Huduma ya ufundi popote ulipo

    Habari wanajamii forum kwa wale Wenye changamoto ya kiufundi kama TV,JBL SPEAKER, NA HOMETHETA unaweza nitafuta kwa namba 0655226738. Nafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana
  11. T

    JamiiForums Tanzania Pocket WiFi 4G – Internet Yenye Kasi na Portable Popote Ulipo

    Habari njema kwa wote! 🎉 Tunawaletea Pocket WiFi Portable yenye kasi ya 4G, inayokuwezesha kufurahia internet popote ulipo! 🔥 👉 Bei ya WiFi: Sh. 50,000 tu! 👉 Ukisajili, unapata GB 20 BURE kwa mwezi mmoja. BEI ZA VIFURUSHI 💻 Sh. 10,000 – GB 10 💻 Sh. 20,000 – GB 20 💻 Sh. 30,000 – GB 25 💻 Sh...
  12. JamiiForums Tanzania From scratch: Jinsi ya kuwa dalali popote pale ulipo.

    Eeeh wakuu, Leo nitavunja code ya udalali kwa watu wote ambao wanalala hawajui wakiamka waende wapi wakatafute ridhiki. Hii code kanipa jamaa aliyekuja huku bariadi kwa ishu zake namimi nimeona niwape bure. NILIMUULIZA ULIANZAJE ANZAJE KAZI YA UDALALI Akanijibu short tu, "nilishikwa mkono...
  13. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ulipo sikia kwichikwichi chumba cha jirani yako ulipopanga?

    Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi tisini, najipiteza wapi nikaona si vibaya nende bafuni!!! Wewe ulifanyaje?
  14. JamiiForums Tanzania Ni mashine gani au Mtambo gani, uliwahi fikiria kama ukitengenezwa, utatatua changamoto za kilimo au Ufugaji hapo ulipo

    Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali. Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo. Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi. Wazo lako ni...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Je mahali ulipo unapata huduma za simu kama onavoatahili?

    Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  17. JamiiForums Tanzania Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

    Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa. Hivyo basi ili...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Series/movies tano na kukuletea mpaka ulipo

    kwa bei ya 3000 tu, uhitaji series au movies yoyote popote nitumie list ya movies/series unazohitaji kwa gharama ya 5 kwa 3000 tuu na kukuletea ndani ya dar es salaam. whatsapp: 0685068828
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…