ulinzi wa taarifa binafsi
Ulinzi wa Taarifa Binafsi
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ya Binafsi ya mwaka 2022 (Tanzania) inatumika kwa 'Ulinzi wa Taarifa Binafsi', ambazo ni taarifa zinazohusiana na mhusika wa taarifa (data subject). Sheria hii inawapa watu haki ya kulindwa faragha zao katika ukusanyaji, uchakataji na udhibiti wa taarifa.
-
Dar es Salaam. Usajili wa taarifa za watu kwa mfumo wa kidigitali, umeanza kuibua wasiwasi wa usalama wa taarifa binafsi, hivyo kuibua hoja ya umuhimu wa kuwapo sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na faragha nchini.
Hoja ya kutungwa kwa sheria ya aina hiyo, imepata nguvu hasa baada ya uamuzi wa...