ulinzi mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  2. Its Tesha

    PostGE2025 Niffer, Mika Chavala na wenzake wafikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalowakabili. Ikumbukwe tarehe 25, Novemba 2025 washtakiwa 20 kati ya 22...
  3. Genius Man

    Serikali iliyoshinda kwa 98% inatembea mitaani na ulinzi mkali tena baada ya doria kali inazidi hadi ulinzi wa Trump aliyeshinda kwa asilimia ndogo

    Serikali iliyoshinda kwa 98% inatembea mitaani na ulinzi mkali tena baada ya doria kali inazidi hadi ulinzi wa trump aliyeshinda kwa asilimia ndogo. Tukutane #D9 wakati ambao watakimbia hii nchi. kuthibitisha wizi wao Kuna vijana wangapi wamekamatwa hovyo kabla ya ziara ya mwigulu mitaani ...
  4. Genius Man

    Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale

    Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale. Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao, Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
  5. D

    PostGE2025 Oyaa nimepita eneo tajwa nikiwa na mbuzi wangu nimekuta ulinzi siyo poa sijui wanalinda nini

    Oyaa hawa jamaa siwaelewi wanalinda nini: kuna ulinzi wachungaji tumeambiwa tukachungie mbali
  6. President of China

    WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI USHARIKA WA KISASA DODOMA na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI

    WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI...cc; BAKARI MAHUNDU https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
  7. Waufukweni

    Ulinzi mkali Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani

    Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025. Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu itaendelea tena Mahakamani hapo kesho chini ya jopo la Majaji watatu...
  8. Just Pray

    Tundu Lissu akiwasili mahakamani kwa ulinzi mkali

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema leo, Jumatano Septemba 10.2025 Lissu ambaye amefikishwa Mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali...
  9. Mbepo yamba

    Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

    Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
  10. Waufukweni

    Waumini wa Askofu Gwajima waendelea na maombi kwenye Kanisa la KKAM Ubungo licha ya Ulinzi mkali wa Polisi

    Baadhi ya waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM), lililopo eneo la Ubungo Kibo jijini Dar es Salaam, leo wameendelea na ibada zao kama kawaida licha ya kuwepo kwa ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya jirani na kanisa hilo. Askari wa Jeshi la Polisi walionekana...
  11. R

    Waumini wa Gwajima waendelea na ibada pembezoni mwa barabara huku kukiwa na ulinzi mkali wa Polisi katika eneo hilo

    Wafuasi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Wafanya Ibada Licha ya Uwepo Mkubwa wa Polisi Licha ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya karibu na Kanisa la Ufufuo na Uzima, lililopo Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi leo Jumapili kwa ajili ya...
  12. Heparin

    Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
  13. L

    Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

    Ndugu zangu Watanzania, Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya...
  14. Tlaatlaah

    Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  15. ELI COHEN

    Je, Poland na Hungary waitwe wabaguzi kwa kuweka ulinzi mkali na kuzuia wahamiaji kuingia kiholela katika mipaka yao.

    Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela. https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B Hapa ni vikosi vya usalama vya...
  16. Sir John Deere

    Hoja Chokonozi: Hivi Rais anapowapita wananchi barabarani na Ulinzi mkali anaogopa kuwasalimia?

    Kwanza niseme nakubali kabisa Rais anafanya kazi kwa ratiba alizopangiwa na wasaidizi wake. Siku 4 zilizopita Mh. Samia Suluhu Hassan katika ziara yake mkoani Katavi ameonekana katika msafara wake wa magari zaidi ya 100 akipita kwa kasi sana huku wananchi wakiwa wamejipanga barabarani kushangaa...
  17. GENTAMYCINE

    Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  18. The Palm Beach

    Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    (Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
  19. MK254

    Urusi: Ndege tatu za kijeshi zalipuliwa zikiwa uwanjani

    Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow. ========= Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
  20. mwanamwana

    KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
Back
Top Bottom