ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika mpaka Ulaya lakini hakuna wazo la kujenga daraja

    Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hawa Wakenya wabunge wetu waliosema hawana akili kama sisi Watanzania ndio sasa wanatusaidia ndege za ujasiri wa Tanzania kwenda Ulaya!

    KQ to support Tanzania aviation industry National carrier Kenya Airways (KQ) is in talks with Tanzania to support its aviation industry after it was banned by the European Union (EU). The European Union (EU) banned Tanzanian airlines from operating in its airspace in early June over safety...
  3. JamiiForums Tanzania Mzungu : Waafrika msimkimbilie Ulaya. Tanzania kuna maisha mazuri kuliko Ulaya

    Personally. I agree with him. ( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment) Video here 👇👇👇👇👇👇👇👇
  4. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya: Nchi 27 wanachama wa EU zakubali kurefusha vikwazo dhidi ya Urusi

    Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za kidiplomasia.EU tayari imepitisha "vifurushi" 17 vya vikwazo tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Arsenal, Spurs zamtaka Eze

    Arsenal inapigana vikumbo na wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham katika mbioz za kumsajili kiungo wa Crystal Palace na England, Eberechi Eze, 26, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya pauni milioni 68 (Sun). Washika bunduki 'The Gunners' wanamsaka Eze ambaye ni mbadala wa mshambuliaji...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi za usajili barani ulaya 2025/2026

    Usajili was Liverpool FC Hadi Sasa unatisha,nadhani msimu ujao tunabeba tena! Hadi Sasa , Georgio mamadashavili Toka valencia,Jeremie frinmpong Toka Leverkusen,florian wirts toka Leverkusen ,pia milos kerkez Toka Bournemouth makubaliano tayari! Arne slot anaenda kutawala epl kama Ferguson...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuijadili Tanzania siyo jambo la afya!

    Sikiliza hapa wanajadili kesi za Tundu Lissu. https://twitter.com/EduTalkTz/status/1934829754852491305?t=TiZp-zvXELlD5i62LV7I2Q&s=19
  8. JamiiForums Tanzania Kapigwa spana Ulaya na Marekani leo kaja kuwadanganya watu eti lazima tutengeneze chetu

    Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka. Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kwamba Ukraine anampa kipigo kikubwa Urusi baada ya USA kujitoa kumsadia na Ulaya kumruhusu kuwapiga Warusi ndani ya mipaka yao!

    Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka yao. Baada ya Trump kuonyesha ukaribu na Putin na kuzuia kuwawekea Ulaya tarifu za biashara, hii...
  10. JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  12. JamiiForums Tanzania Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  13. JamiiForums Tanzania Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini urusi haijashadadia masuala ya upinde kama nchi nyingine za ulaya?

    Kwanza nianze kwa kusema sijawahi kufika Ulaya, kila kitu nakiona kwenye TV na mitandao ya kijamii. Katika kufuatilia kwangu kuna utofauti nimeuona kati ya Urusi na nchi nyingine za Ulaya. Wakati nchi nyingine za Ulaya hasa Magharibi mfano Ufaransa, Ujerumani, Uingereza wakiongea kuhusu haki...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Leah Ulaya, Maganga Walivyogomea uteuzi wa Rais kisa CWT

    Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa. Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wazungu Wanaogopa Ongezeko la Waafrika – Je, Wana Sababu?

    Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa: “Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Afrika, Amerika, na Australia hakuna sehemu takatifu isipokuwa Asia na Ulaya au ni bangi na uzwazwa wa imani?

    Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia Yerusalemu mji wa mwenda usiku Vatican pamoja na kashfa za ngono Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu' isipokuwa Asia na Ulaya. Utasikia miji mitakatifu ya Makka na Madina (mji kwa kiarabu), Yerusalem, na hata...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…