1. Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu.
2. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Bcc: Nay...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi.
Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ?
Nimesikia...
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia...
Kuna wabunge nimewasikia wanapayuka na nimeelewa kwamba hawajui kabisa kuwa misaada ya Ulaya imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania katika miaka kama kumi iliyopita. Tanzania inafanya jitihada kuelekea kujitegemea, lakini bado misaada ya Ulaya ikositishwa hali hiyo inaweza...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri labda sisi ni Makoloni yao.
Napenda kuwaambia ya kuwa Tanzania ni Nchi huru na Taifa huru...
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na...
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
Habari wakuu
Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo
Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na...
WABUNGE WA UJERUMANI NI:
Michael Gahler
David McAllister
Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo
Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
Ameandika wakili msomi:
Kikao cha dharura kinafanyika leo, Mei 7, 2025, kujadili suala la Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA MH.WAKILI MSOMO Tundu Lissu
Wabunge wamewasilisha mapendekezo ya miswada ya maazimio yenye msimamo wa pamoja:
1. Kushutumu vikali kukamatwa kwa Tundu Lissu na mashtaka...
Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika...
Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa.
WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao.
Nawatakia Amani ndugu zangu.
Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi.
Hawa wachezaji wamecheza kwenye ligi ya ndani kwa zaidi ya miaka 5 na walishafika peak yao, umri tayari umesogea, ligi yetu haipo kwenye rada za mascout wa Ulaya na hatuna historia ya kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.