Wadau Habari za kazi. Nimetafakari Sana Miradi ya Kimaendeleo iliyoko Dar na hatua iliyofikia, inatia Moyo kiasi kwamba ndani ya mwezi 6 tangu sasa kwa MIUNDOMBINU Dar itakuwa Kama Ulaya.
Check Ubungo interchange, Flyover ya TAZARA, Flyover zinazojengwa Uhasibu na Ile ya makutano ya barabara...