ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Unahisi kwanini P Diddy ametaja hayo majina yote hapo? Ukweli ni huu

    https://www.facebook.com/share/v/wXRUZzMo624yBNyF/?mibextid=Mk4v2M Majamaa waliingia nyumbani kwa Diddy na wakachukua kila kitu, ikiwemo hard disk za kamera za siri ambazo Diddy alikuwa ameweka kwa ajili ya kurekodi kila kitu kilichokuwa kinaendelea. Kamera za siri? Yaani alikuwa anarekodi...
  2. Ukweli kuhusu utajiri wa halali

    Kuwa tajiri mara nyingi kunategemea mchanganyiko wa mambo, na bahati huweza kuwa na nafasi, ingawa kwa kawaida siyo kipengele pekee cha utajiri. Watu wengi wenye mafanikio wanakiri kuwa bahati—kama vile kuzaliwa katika mazingira mazuri, kukutana na fursa zinazofaa, au kufaidika na...
  3. Ukweli Usiotarajiwa Kuhusu Wenye Roho Nzuri: Kwa Nini Upole Wako Unaweza Kuwa Kikwazo Kwenye Mapenzi?

    Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu! Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
  4. Ulimwengu wa Roho, Maswali kadhaa ya kutaka kujua ukweli usio na shaka yoyote.

    Great thinkers Habari zenu. Ulimwengu wa roho ni nini kwa kiswahili cha kawaida kabisa, Maswali yangu matatu tu ikiwapendeza naomba mnijibu ? NB; Rejea za vitabu vya dini zitumike panapo stahili, Ila akili yako huru ndio itatukomboa wengi tunaotaka kujifunza juu ya haya maswali. 1...
  5. Ukweli kuhusu tabia za wanaume washindao katika mitandao ya kijamii

    Men will like everything you post until he becomes your man, now he can't see🥲🤡😂
  6. U

    Tangazo hili la uhamisho wa watumishi wanaotaka kuwafata wenza wao wa ndoa ni la kweli?

    Wakuu nimeiona hii barua mahali, je, wakuu inaukweli? Kuna mtu anafanya kazi Tanzania Bara na anataka kwenda kufanya kazi Zanzibar kumfata mwenza, je hili tangazo linamuhusu? Je, aanzie wapi?
  7. Ukweli: Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha

    Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha. Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
  8. K

    Mwakubusi kasema ukweli hapa

    https://youtu.be/CM8T8rOrNtA?si=flcdTXE8zjEYQBPV
  9. Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

    Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea Hata yule bosi wa zamani wa mawingu marehemu kwa sasa ambaye alikuwa anasifiwa sana ana akili ukweli ni kwamba alikua wakawaida sababu...
  10. Ukweli mchungu: Simba na Tripoli wote ni vibonde na vilaza watatoana kwa matuta

    I salute you kinsmen. Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote. Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao Tripoli. Hawa hawa ndiyo waliokandwa na Biashara United kipindi kile eti leo ndiyo mnategemea...
  11. Kumbe jana Kakesha JamiiForums Usiku Kucha na hajaamini kuwa kuna Watu wanapiga Spana za Ukweli na wana Akili

    Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
  12. G

    Kuna ukweli kwamba madaktari huwatibu vizuri na kuwajali zaidi wateja wanaolipia cash badala ya bima ?

    Kuna ukweli wa hili jambo ?
  13. Rais Samia atakuwa anapotoshwa kuhusu CHADEMA kufanya vurugu

    Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu...
  14. Usiogope kumwambia mtu yeyote ukweli haijalishi ni mama yako au baba yako.

    Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
  15. Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  16. B

    Ukweli mchungu: Asilimia 70 ya wanawake walioolewa hawawapendi waume zao

    Habarini, Nimefanya huu uchunguzi usio rasmi, kwenye ndoa nyingi, ukiuliza mwanamke love story yake ya jinsi alivokutana na mmewe, utapata moja ya majibu haya: 1) Watakwambia hivi (nawanukuu) "Yani huyu mume nilie nae wala hata sikuwa namuwaza, alitumia mwaka mzima kunitongoza, nilimzungusha...
  17. Hivi suala la mafuta kuwa machafu na masafi baadhi ya sheli lina ukweli ndani yake? Kuna madhara gani?

    Habari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto. Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu? Na kama ni kweli kuna mathara gani unapoweka hayo mafuta kwenye chombo cha moto?
  18. D

    Ukweli usemwe: CHADEMA imeipiku CCM na Serikali yake kwa Propaganda.

    Kuna kila haja na lazima kwa CCM kujipanga upya katika idara yake ya Propaganda. Ni ama idara hiyo imefeli ama haipo kabisa kuweza ku-attack mabomu ya Chadema. Kama ni vita basi tunaweza kuifananisha Chadema na Israel na CCM kuwa Hamas. CCM imezidiwa mno. Yumkini bomu la tarehe 23/9/2024...
  19. S

    Ukweli ni kwamba Lissu amekubali tu "collective responsibility" ila yeye alipinga maridhiano tangu mwanzo

    Licha ya Lissu kuomba radhi kwa kile kinachoonekana ni kukubali maridhiano na serikali ya Raisi Samia, ukweli ni kwamba, Lissu amekubali akiwa ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA uliofika hayo makubaliano ya kile kinachoitwa 4R. Lissu alithibitisha kutokuwa muumini wa 4R katika mahojiano na...
  20. Tuambizane ukweli: kauli ya Nchimbi imebeba hofu kubwa iliyopo CCM kwa sasa

    Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA. Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…