Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo.
Ukimya wake unamaanisha, ameumia
Ukimya wake unamaanisha, hana furaha
Ukimya wake unamaanisha, ameona humthamini
Ukimya wake unamaanisha, amechoka na tabia...