Tuangalie mambo ambayo ni ya kweli ila yanapindishwa ili tu kupata faraja na huruma Kwa baadhi ya watu.
1.Dini ,manabii ,wachungaji na masheikh.
Hawa kuna namna wameushikilia ulimwengu,licha ya kuwepo watu wachache wenye uelewa wa huu utapeli lakini bado most of them huwaambii kitu kuhusu...