ukristo

  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Walokole wanautia aibu Ukristo

    Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk. Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii. Nabii akisema leo kamnyime mumeo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya Yesu siyo halisi ilibuniwa na watu tofauti tofauti

    Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Biblia Ni ya ukweli kihistoria?

    Wanahistoria wa Misri na Israel kutokana na kuchimbua mabaki na kufuatilia michoro na vinginevyo wamekuta kwamba hamna uhalisia wowote kuhusu story za waisraeli kuwa watumwa Misri, kutembea jangwani miaka 40 na kupigana Vita dhidi ya miji 30 na zaidi. Ina maanisha kuwa hizi story hazina ukweli...
  5. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
  6. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Asalam aleykum...twende kwenye mada Kusali jumapili Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato. Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili inayokataza mtu kuabudu sanamu. Ambayo bila shaka Wakatoliki wengi hufanya. Wakati wa Masihi Yehowshuwa...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

    Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo. Ambapo sheikh amesema...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Bila Kanisa Katoliki: Ukristo usingeenea Duniani Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa Ukristo usingeheshimika UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa...
  10. kwisha

    JamiiForums Tanzania Wakristo tumefundishwa hivi kuhusiana na upendo

    Wakristo sisi tumefundishwa hivi; Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi. Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ukristo uliomezwa na utandawazi, kuna mengi ya kujifunza kwa Waislam wanaosimamia maadili kombe la dunia Qatar

    Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo...
  12. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Na Jumaa Kilumbi, 31.10.2022 Punyeto ni nini? ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri. Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana. Japokuwa ukiuliza watu wengi hawasemi ukweli ila kila mtu anajua anachokifanya anapokuwa...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni Uzungu na Uislamu ni Uarabu?

    Najaribu kuwaza ni kwa nini watu wengi wanaonesha kuwa ili uwe muislam mzuri ni lazima utumie mambo mengi ya kiarabu kuanzia kuvaa mpaka kuongea kwa lafidhi ya Kiswahili cha Kiarabu. Lakini pia Wakristo wengi nao ili ionekane wewe ni mteule wa mungu uzungu ni lazima uwe ni sehemu ya maisha...
  14. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Anaandika Robert Heriel, Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi. Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism). Ukisema Ukristo ni mtoto...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazee wetu wa zamani walioabudu mila za Kiafrika waliishi miaka mimi kuliko wa sasa wa Ukristo na Uislam?

    Habarini wadau, Hii kitu inanisumbua sana kichwani naombeni mawazo yenu huenda nikapata jibu lake. Karibuni!
  17. F

    JamiiForums Tanzania Ukristo unapaswa utunge sheria ya mirathi ya kikristo kuondoa migogoro kama uislam ulivyo na sheria yao

    Naona ni wakati sasa wakristo tuamke na kuomba dini yetu itunge sheria yake ya mirathi. Tuache kutegemea sheria ya kiserikali kuamua mirathi ya kila mkristo. Tazama matajiri wa kiislam wakifariki mifarakano hakuna. Sababu ni Mara nyingi misiba ya waislamu huwa wanatumia sheria za mirathi za...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongera Askofu Mstaafu Mkude wa Jimbo Kuu la Morogoro Kanisa la Mt. Patrick ( Patrice ) kwa Ukristo huu wa Kizalendo wa Leo

    Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga. Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada. Ni kwamba mara...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

    Nchi nyingi za Ulaya zinapokea Waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya Waislamu tu (Wakristo hawaruhusiwi). Waislamu hujazana kwa hizi mbinu: - Kuomba kuishi Ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwa sababu Nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika Ulaya wanaita familia...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

    Hapo patatosha kweli? - Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi - Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe? - Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
Back
Top Bottom