ukraine

  1. Ukraine yasonga mbele Luhansk, Urusi wapo bize na kulenga raia

    ni dhahiri sasa Rusia wameamua kudeal na Soft targets. makombora zaid ya 80 yalio rushwa hovyo hovyo mengine yameanguka barabarani mengine nyikani mengine kwenye majengo ya raia mengine yamedunguliwa. haya makombora hata nusu yake yangepiga mstar wa mbele nafkir huenda wangekua wamefanya kitu...
  2. S

    Msimamo wa nchi za Afrika juu ya suala la Urusi na Ukraine ni jambo dogo sana linalopaswa kuongozwa na kanuni, sio maslahi ya nchi zetu

    Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika. Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia...
  3. Teknolojia imempa Ellon Musk ukuu wa dunia. Atoa amri kwa Ukraine na Taiwan

    Umiliki wa teknolojia za mawasiliano ni jambo muhimu katika kuitawala dunia. Hiyo imeonekana kwa tajiri mkubwa wa dunia Ellon Musk anayemiliki satelite ya Starlink. Wakati vita kati ya Ukraine na Urusi vikianza jeshi la Urusi liliwahi kuibomoa minara ya mawasiliano ya makampuni ya simu ili...
  4. Jeshi la Ukraine limekwama tena, waomba silaha

    Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la viwanda la Donbas. Kabla ya tangazo hilo hapo juzi askari hao wa Zelensky walikuwa wakilalamika...
  5. Ukraine inatumia Vifaru 440 na Magari ya Vita 650 yaliyotelekezwa na Urusi

    Karibu ya Nusu ya vifaa vya kivita vilivyotelekezwa na Askari wa Urusi tangia kuanza kwa phase ya pili ya Vita hiyo February 24 (phase ya kwanza Crimea 2014). Ukraine inatumia vifaa vya Mrusi kumuadabisha. Pia kuna ripoti ya drone ya Shaheed kutoka Iran ambazo zimeangukia mikononi kwa Ukraine...
  6. Rais wa Ukraine aidharau Urusi kupita kiasi

    Baada ya kuona majeshi yake yamefanikiwa kuwarudisha wanajeshi wa Urusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyotekwa, sasa Rais wa Ukraine, Zelensky ameanza kuidharau Urusi pakubwa na kutoa utabiri wa kushinda moja kwa moja kama kwamba anapigana na mtoto mdogo. Kwenye hotuba yake hapo jana alisema kwa...
  7. Ukraine yawania kuwa mwenyeji kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2030

    Wakati vita vinaanza tuliaminishwa Ukraine imeisha na itazikwa kwenye kaburi la sahau ndani ya siku chache..... Spain and Portugal’s football federations have confirmed Ukraine has been added to their joint bid to host the 2030 World Cup. The three nations announced their collaborative bid at...
  8. Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

    Hakuna kuachia, moto ni ule ule.... Ukrainian troops have broken through Russian positions on the Dnieper river north-east of Kherson, a strategic Russian-held city in southern Ukraine. The advance was reported by the Russian military and Russian-installed officials in the region. There is...
  9. Marekani waanza kuisusa Ukraine au ni uwoga wa vita?

    White House responds to Ukraine’s NATO request Now is not the time, says national security adviser Jake Sullivan.
  10. Mchakato wa kuingiza Ukraine ndani ya NATO waanza rasmi

    Ndani ya NATO kuna kinga, taifa lako likiwa ndani ya NATO, yaani Urusi hupita mbali na haiwezi ikakosea njia na kwa namna Urusi imedhihirisha udhaifu wake baada ya kushindwa kuparamia Ukraine licha ya kutumia nguvu nyingi sana, ni dhahiri kwa mataifa ya huko yakitaka amani ya kudumu yajiunge...
  11. Ziko wapi nafaka za Ukraine mlizo dai ni kwaajili ya nchi masikin na zinazoendelea?

    Tukirudi nyuma kidogo, Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka Ukraine kupitia bahari nyeusi kwaajili program ya umoja wa mataifa ya kuhami nchi masikini dhidi ya...
  12. President Putin rebuffs the NWO Globalists during a speech he made while inviting the four new Ukraine regions

    A superb speech made by President Putin which is a direct rebuke to Globalists a.k.a the NWO during the signing in ceremony of an agreement signaling the invitation of four new states into the Russian Federation. 30 SEPTEMBER 2022 Today in the grand Hall of St. George inside the Kremlin in...
  13. Ukraine yatuma maombi kujiunga na NATO haraka iwezekanavyo

    Officially comfirmed by ukraine president zelensky. =========== KYIV, Sept 30 (Reuters) - President Volodymyr Zelenskiy said on Friday Ukraine was formally applying for fast-track membership of the NATO military alliance and that Kyiv was ready for talks with Moscow, but not with President...
  14. Kwanini Umoja wa Afrika hautoi neno kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Urusi?

    Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia? Je, haisikilizwi? Je, haioni umuhimu? Je, hayawahusu? Je, ni kawaida kwao? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  15. Rais Vladmir Putin asaini kuichukua rasmi mikoa minne ya Ukraine kuwa sehemu ya Urusi

    Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine. Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya. Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana. ===========...
  16. M

    Hii kura ya maoni iliyofanyika Ukraine ni sawa na kutafuta maoni ya mbuzi abakie kwenye mwitu au amilikiwe na watu: Jibu linajulikana!

    Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na uhakika kabisa kuwa zoezi la kura litaendeshwa kwa uhuru na uwazi. Wapo watu wengi toka nchi za...
  17. Marekani yaandaa kifurushi cha $1b kwenda Ukaine huku tukisubiri wanywa gongo wanaolazimishwa kwenda kufa Ukraine

    Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na kukimbia mapigano..... WASHINGTON (AP) — The U.S. will provide an additional $1.1 billion in aid...
  18. INDIA yachagua amani mzozo wa Ukraine

    Na Yoshita Singh HUKU mzozo wa Ukraine ukiendelea kwa miezi kadhaa, siku ya Jumamosi lndia ililiambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba iko upande wa amani na upande unaotaka mazungumzo na diplomasia ndio njia pekee ya kutokea. Mzozo wa Ukraine unapoendelea kupamba moto, mara nyingi...
  19. S

    Kura ya maoni huko Ukraine yaingia siku ya mwisho, raia kujiamulia hatma yao wenyewe

    Leo ndio siku ya mwisho ya kura za maoni huko Donetsk, Lugansk, Zaporizhzhye na Kherson. Raia wa maeneo hayo wanaamua hatma yao kupitia sanduku la kura maarufu kama democracy (ma-LGBTQ yatanuna🤣🤣😇😇). Muitikio wa raia kujitokeza kupiga kura umekuwa mkubwa mno tofauti na ma-LGBTQ yalivyotegea...
  20. Ukraine waharibu kikosi cha Urusi, 144th Guards Motor Rifle Division

    Shughuli inaishia Crimea.... Three weeks ago, the Ukrainian army’s northeastern counteroffensive dismantled one of the Russian army’s elite units: the 1st Guards Tank Army. Now the same counteroffensive reportedly has wrecked a new motorized infantry division the Kremlin stood up a few years...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…