ukraine

  1. MK254

    Ukraine wafaulu kurejesha eneo la Opytne

    Yaani hii aibu kwa Urusi, jeshi la kainchi kadogo hapo pembeni linaitesa Urusi hadi raha. ======= Deputy Defence Minister Hanna Maliar has said that the Armed Forces of Ukraine regained part of Opytne in Donetsk Oblast. Maliarʼs briefing on 11 September on the air of the national joint 24/7...
  2. Webabu

    Jenerali wa Marekani asema Ukraine imebakiwa na siku 30 iinue mikono juu

    Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile. Amesema kwa sasa nchi hiyo imebakiwa na siku 30 ikizidi ni 45 kuweza kupenya ngome za Urusi jambo ambalo amesema si...
  3. MK254

    Kiwanda cha kijeshi Urusi chapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Sasa hivi madogo wanao endesha hizi drones wanachagua pakupiga ndani ya Urusi bila shida yoyote..... A RUSSIAN plant that makes crucial parts for missiles has gone up in flames after being blasted by kamikaze drones. Dramatic footage shows a huge inferno raging at the Kremniy EL after the...
  4. Juma Wage

    KAMIKAZE zimebadili mwenendo wa vita ya Ukraine

    Mnamo mwaka 1976, Mwanamuziki maarufu nchini Kongo Franco Luambo Makiadi aliachia kibao chake "Kamikaze". Kupitia kibao hicho, Franco ameeleza namna alivyovurugwa kimapenzi na binti mrembo "Kamikaze" aliyemsaliti kisha kwenda kuolewa na mwanaume mwingine. Alichukulia kitendo hicho kama uasi wa...
  5. MK254

    Ukraine wazidi kupasua ngome za Warusi kwenye counteroffensive

    Mwendo wa mpwito mpwito... Ukrainian troops continued their offensive actions near the city of Bakhmut and in the western part of Zaporizhzhia Oblast on 7 September and they had gains on both frontlines. Source: Institute for the Study of War (ISW) Details: Geolocation footage published on 7...
  6. kwisha

    Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

    Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa. Maisha yamekuwa ghali kinoma Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi. Lakini kila kukicha Kama hapa Canada [emoji1063] serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu...
  7. M

    Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

    Mzuka Wanajamvi! Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa. Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani. Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
  8. MK254

    Cuba yalalamika kwa Urusi kutumia raia wake kwenda kupigana Ukraine

    Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene... A human trafficking ring that coerced Cubans to fight for Russia in Ukraine has been uncovered, the Caribbean island's government says. The Cuban...
  9. MK254

    Majasusi wa Ukraine wamlipua jenerali wa Urusi kwa kutumia simu

    Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi. Huyu kapokezwa simu ya mkononi ikamlipukia, maisha ya hovyo sana, walivamia nchi ya watu wakadhani wao wataendelea kuishi kama...
  10. MK254

    Kamanda wa kikosi cha Chechnya auawa kwenye mapambano na Ukraine

    Watu wanafia kwenye nchi ya watu, ukiwauliza wanachopigania, hawana cha kujibu..... PHOTO: DKULKO/TELEGRAM Yevgeny Pisarenko, the commander of Akhmat, a Chechen armed formation that is fighting on the Russian side, has been killed in combat in Donbas. Source: Russian Kremlin-aligned media...
  11. MK254

    Mama Mrusi ajighubika bendera ya Ukraine na kusimama Red Square, eneo la kihistoria, Urusi

    Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa.... PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally while wrapped in a Ukrainian flag. Source: Russian human rights media project OVD-Info with...
  12. Vladivostok

    Novatus Dismas Miroshi atua Shakhtar Donestk Ukraine, kukipiga ligi ya Mabingwa (UEFA)

    Mtanzania Novatus Miroshi ametua Ukraine katika Klabu ya Shakhtar kwa mkopo kutokea zulte waregem ya ubelgiji. Hii itampa fursa ya kukipiga UEFA ambapo wamepangwa na barca, porto na royal antwerp ya ubelgiji. Kongole kwa mtanzania mwenzetu afu jamaa umri bado unadai.
  13. Jackal

    Urusi yahamisha mifumo ya ulinzi wa anga toka kisiwa inachogambania na Japan cha Kuril kupeleka kwenye mpaka na Ukraine

    My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya kumaliza vita,ni Putin kuondoka Ukraine,ikiwemo Crimea 🤔 .... Russia has taken away anti-aircraft missile...
  14. MK254

    Ukraine wafaulu kutumia kombora la masafa marefu, wapiga umbali wa kilomita 700

    Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora. Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi.... The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
  15. MK254

    Ukraine wafanya mashambulizi ya drones Urusi kwa kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa

    Viwanda vya drones Ukraine vinazalisha kwa wingi, maelfu na kwa sasa Ukraine hawapotezi muda, wanazituma Urusi na kupiga popote na kote, anga za Urusi zimekua balaa, milipuko mikoa sita kwa mpigo. Russia said that Ukraine launched drones against targets in six Russian regions, including an...
  16. MK254

    Viongozi waliokuwa wamepachikwa na Urusi mji wa Tokmak, waanza kuondoka huku Ukraine wakijongea

    Hali tete, wazalendo wanakuja kwa kishindo, wanafumua kila kitu, Urusi waliteka mji na kupachika viongozi, hali imebadilika, ngome zote walizokua wamewekeza zinafumuliwa, walifukia mabomu kote ila yanalipuliwa yote, Ukraine wanakuja kama vichaa, wana mzuka wa balaa, wanasimika bendera zao kote...
  17. MK254

    Ndege nne za kijeshi za Urusi zalipuliwa uwanjani na drone ya Ukraine

    Bandugu, patanei picha yaani kindege kidogo cha drone kinalipua mindege ya ya kivita, hasara ya ajabu sana na aibu kwa Urusi.... Russian media outlets reported that four Il-76 aircraft were damaged at a military airfield in Pskov as a result of a drone attack. Source: Mikhail Vedernikov...
  18. MK254

    Kanali wa jeshi la Urusi apigwa bomu na drone ya Ukraine akiwa kwake nyumbani, Urusi

    Sasa wanaanza kufuatwa manyumbani, alikua anafyeka nyasi kwake kashushiwa mzigo...... Salamu ziwafikie viongozi wa jeshi la Urusi popote walipo, wanafahamika wanakoishi na mitoko yao ya kila siku, na kuna drones za Ukraine zipo angani zinajipigia popote Urusi hadi hata ikulu. News World News...
  19. Allen Kilewella

    Anayepinga ukuu wa Urusi Kwa Ukraine akapimwe utimamu wa akili yake

    Urusi iko Juu ya Ukraine Kwa kila kitu. Kinachojadiliwa ni kwa nini Urusi wameivamia kijeshi Ukraine? Ukraine inasifiwa kwa uimra wake wa kupambana kwa zaidi ya mwaka mmoja na nchi ilyoizidi kwa Kila kitu. Kwa ivo Urusi inatumia ukuu wake kuionea Ukraine.
  20. MK254

    Ukraine wakomboa mji wa Robotyne, ardhi inarudi kwa wazawa kipande kwa kipande

    Warusi wanatapika ardhi ya watu, inawatoka puani tena kwa damu na vifo vya maelfu ya wanajeshi a Urusi.... Ukraine said on Monday that its military forces successfully regained control over the southeastern town of Robotyne and were trying to push further south in their counteroffensive...
Back
Top Bottom