ukraine

  1. Mi mi

    Urusi imeshindwa kuua viongozi wa kutosha wa Ukraine. Je, ni udhaifu wa jeshi la Urusi

    Je, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ? Faida zipi Israel na Marekani wanapata kwa kuua viongozi wa Iran katika vita vyao ambazo Urusi ana zikosa kwa kutoua...
  2. City Of Lies

    Urusi haina mpango wa kuwarejesha Wakenya wanaopigana vita ya Ukraine

    Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
  3. W

    Ukraine yashambulia Kiwanda muhimu cha Vifaa vya makombora Nchini Urusi

    Vikosi vya Ukraine vimeshambulia kimoja kati ya "viwanda muhimu zaidi vya kijeshi" vya Urusi, kulingana na kauli ya Rais Volodymyr Zelensky. Jeshi la Ukraine lilisema kuwa makombora ya masafa marefu ya Uingereza aina ya Storm Shadow yalitumika kukishambulia kiwanda cha Kremniy El...
  4. 6 Pack

    Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

    Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky. Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...
  5. Sir John Deere

    Urusi angekubali Ukraine iikaribishe NATO yangemkuta ya Iran kashtukia mchezo

    Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine. Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...
  6. Lycaon pictus

    FIFA wataifungia USA kwa kuivamia Iran kama walivyoifungia Russia kwa kuivamia Ukraine?

    Tutarajie lolote kutoka FIFA? Kwanza kwa nini waliiban Russia na wanadai hawajihusishi na siasa?
  7. John Haramba

    Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  8. Mshana Jr

    Story time:Holodomor: Njaa Kubwa ya Ukraine (1932-1933)

    1. Sababu ya Asili Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni: •Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine walilazimishwa kuuza mazao kwa bei ndogo kwa serikali, huku mashamba makubwa yakichukuliwa. •Bajeti...
  9. Chizi Maarifa

    Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

    Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
  10. Lexus SUV

    Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi

    JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...
  11. R

    Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela

    Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA. Moral authority hawana kuisema USA!
  12. HIMARS

    Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin

    Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv Putin aagiza jeshi la...
  13. The Zanzibar Echo

    Ukraine yapoteza mji wa mashariki uliokumbwa na vita

    Wanajeshi wa Ukraine wamejiondoa kutoka mji wa mashariki wa Siversk uliokumbwa na vita, huku Urusi ikiendelea kusonga mbele taratibu. Jeshi la Ukraine lilisema Jumanne kwamba lilichukua hatua hiyo "kuokoa maisha ya wanajeshi wetu na uwezo wa kupigana wa vitengo", na kuongeza kwamba vikosi vya...
  14. MakinikiA

    Vita ya Ukraine ni ya Kimkakati, angalia utajiri wa eneo la Donbas ambalo Putin atalichukua kwa jeshi

    Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta kontinua Russia
  15. Huihui2

    Benki Kuu ya Ulaya yakataa kuidhinisha fedha za Russia zilizokuwa frozen kwa ajili ya kusaidia Ukraine

    Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
  16. Stuxnet

    USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mawaziri kutoka Ukraine, Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Umoja wa Ulaya watakutana nchini Uswizi ili kujadili mpango wa pointi 28 uliopendekezwa na Washington wa kumaliza vita na Urusi. Hapa ni maelezo ya hoja kuu za mpango huo wa Marekani kwa Ukraine:- Kusitisha mapigano mara...
  17. Dalton elijah

    Medvedev: NATO kuilinda anga ya Ukraine ni 'tangazo la vita'

    Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita. Medvedev amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram kwamba kutelekeza wazo la kuiwekea Ukraine ulinzi wa anga na kuyaruhusu mataifa ya...
  18. Yoda

    Trump akiri hawezi kumaliza vita vya uvamizi wa Russia Ukraine bila msaada wa NATO Ulaya

    Zile tambo za kumaliza vita kwa siku moja atakapoingia Ikulu alizowahadaha nazo MAGA Wamarekani sasa ni kama zimefika ukingoni baada ya karibia mwaka ukienda kuisha bila dalili zozote za vita kuisha zaidi sana akiwa amechezwa Shere na Putin! Sasa anasema kwanza hii vita sio yake ni ya Biden na...
  19. haszu

    Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

    Kuna video inaumiza kweli, binti mdogo ambae mi mkimbizi kutoka Ukraine, ameuwawa kwa kukatwa shingoni na jamaa mweusi kwenye train. Ni wazi kua ameuwawa kutokana na rangi ya ngozi yake "White", weusi wengine waliokuepo hawakuonesha kumsaidia binti, alianguka kwenye kiti chake, akavuja damu...
  20. mcTobby

    Nini kinafanya Urusi kuitamani Ukraine koloni lake la zamani na sio mengine?

    Hii vita ya Russia vs Ukraine kuna muda hata siipatii majibu. Urusi alikuwa na makoloni mengi chini ya mwavuli wa Sovieti ikiwemo czech, Belarus, Slovenia na Ukraine ikiwemo n.k . Sasa imekuwaje hata baada ya Muungano huo kuvunjika na kila nchi kuwa huru ila bado mrusi anaitamani tena...
Back
Top Bottom