ukosefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi wa fundi

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  4. Akilibandia

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  5. Frajoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira rasmi kwa vijana

    SULUHISHO LA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA RASMI KWA VIJANA NCHINI TANZANIA. Ndoto ya kila mzazi au mlezi ni kuona kijana anapata ajira rasmi mara tu anapohitimu masomo yake.Huku ajira ya serikalini ndio lengo kuu.Pia inachochea maendeleo kwa taifa kuajiri vijana wenye ufahamu wa ujuzi mpya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Umasikini kwa Wafanyakazi sio Mishahara midogo bali ni Ukosefu wa Elimu ya Kifedha

    Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Madhara ya ukosefu wa mtandao na suluhu yake Kwa miaka miwili

    Mawasilianao ni kitendo Cha kupashana habari baina ya mtu mmoja na mtu mwingine au baina ya mtu mmoja na kundi la watu. Kuna njia nyingi za mawasiliana kama vile kupigiana simu,kutumia a meseji,kuandikisha barua nk. Ukosefu wa mtandao unaweza kuwa na madhara makubwa kwa watu binafsi, biashara...
  8. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Viwanda vidogo Mwokozi ukosefu wa ajira Tanzania

    Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi. Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu. Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel Ten TV, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa 9:30 alasiri. Hoja ya leo ni...
  10. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  11. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mustakabali wa Teknolojia na suluhisho la ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa Tanzania

    Teknolojia nini? Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka. Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

    Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukosefu wa ajira kuisha 2026

    Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wenu wa nguvu za kiume mtaji kwetu Serikali

    Serikali inatarajia kutumia Sh. Bilioni 3.5 kuchunguza Tatizo la Nguvu za Kiume, unywaji wa Energy Drinks
  15. LugaMika

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa haki vyuoni

    Wazazi wanatuombea sana hususa wale wa familia za chini pale wanapoona kijana au Binti yao yupo chuoni, kwani imani yao atapata Elimu kisha kuwa na maisha bora. Lakini tatizo vuoni kunakuwa na mipango malidhawa ya Wakufunzi kukwamisha ndoto za vijana au Mabinti hawa. Tupia mbali rushwa kwani ni...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

    Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha. Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala jitihada za kuleta maji.
  17. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Uharibifu wa Mazingira unachangia ukosefu wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira. Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na...
  19. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Matusi, kebehi na fedheha mtandaoni zinaweza kusababisha mtu kujiua

    Unyanyasaji mtandaoni ni matumizi ya teknolojia kumdhulumu, kumtishia, kumfedhehesha, au kumnyanyasa mtu mwingine. Vitisho mtandaoni na ujumbe wa kejeli, wa kibabe, au wa kudhalilisha kwenye maandishi, twiti, machapisho, au ujumbe wote huathiri. Pia kuchapisha maelezo ya kibinafsi, picha, au...
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana kunahitaji njia kamili na yenye kujitahidi kutoka kwa Serikali

    HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
Back
Top Bottom