Una akili sawa sawa we Mzee??Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
Kupata kichekesho kama hii tubonyeze ngap mkuu?Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
Ha ha ha haaaaa. Haya bwashee tutaichagua CCMVijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
Nyie ndio mnasababisha bangi inakatazwa.Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
Acha uongo wa siku zote,ili waondoke walipo kwamia starti wafanye kinyume na uongo wako ulio utundika hapa.Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
Tumia akili ufikiri kidogo. Haiwezekani uwekezaji wa milioni 30 mpaka 50 kusomea ualimu, udaktari, uhandisi au fani nyingine kama hizo halafu ukafanye kilimo cha jembe la mkono. Hizo ni kazi za wale ambao hawakuenda shule. Hata wanasiasa wanaohamasisha vijana wajiajiri, wao na ndugu zao wote wameajiriwa. Sasa mwalimu anajiajirije- akafungue shule yake? Kila dakari awe na hospitali au kituo chake cha afya?Tatizo la ajira ni self-problem
Ajira zimejaa wafanyakazi ndio hawapo
Ukitafuta ajira/kazi acha kuchagua chagua. Ukikuta kazi fanya iwe kuosha vyombo kuchimba mtaro kukata majani ya ng'ombe kulisha kuku kuogesha nguruwe wewe fanya taaluma yako au vyeti vyako haviliwi
Ila vijana wanataka ajira TRA au BOT sasa bado hujasubiri utasubiri sana. Wengine walimu wanaambia mkajitolee vijijini hawataki wanata msasani S/M au Salma Sec School.
Mazee muda hauwangoji ajira zimejaa huku bush sasa hivi wanaanza kuvuna mpunga na kupiga na kuvuna tumbaku karibu uwanja wa ajira
Kujidhalilisha koote huku sababu umeahidiwa kuwa karani kwenye daftari la mpiga kura..!Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
Bado tunafanya upembuzi yakinifuKwanini hizo ajira wasizitoe sasa hivi ili tuwachague!!?
Kwa hiyo vijana hawana ajira kwa kuwa hawaichagui CCM,huu ni upotoshaji wa kupindukia.This is a global conspiracy mkuu which has nothing to do with CCM.CCM haina uwezo kabisa wa kuwapa vijana wote ajira,kadanganyeni wadanganyika,sio watu wenye akili zao.Soma ukweli ufuatayo,na wewe uelimike,acha ujinga.Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.