ukomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ibrahim Ajibu tatizo ni uwezo umefikia ukomo au Azam FC?

    Ibrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji ambao watakuja kuwa na maisha mazuri kiuchezaji uwanjani. Hilo ilitimia kwa kiasi fulani...
  2. Kisasi kisicho na ukomo

    Mtawala wa Rumi Julius Ceasar aliwahi kukamatwa kama mateka na maharamia. Wakamshikilia na kudai walipwe vipande vya shaba 20,000 ambazo ni sawa na Pound 500,000 za leo. Ceasar akaona hii dharau mbona wanadai malipo madogo mimi sina thamani ndogo kiasi hicho. Akawambia wadai vipande vya shamba...
  3. Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
  4. U

    Serikali hii ya Mpito itafika ukomo ukifanyika uchaguzi 2025

    Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito. Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais...
  5. B

    CHADEMA: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo

    Ikumbukwe ipo tofauti kubwa kati ya Chadema na mashabiki mitandaoni. Ni muhimu kukawa na focus ya hoja ipi inamhusu nani katika wawili hao. Kumekuwa na maangalizo mengi ambapo kwa hakika Chadema kama chama kinapaswa kufikiria kuyafanyia kazi: 1.Lwaitama, Heche, Kigaila na wa namna hiyo katika...
  6. Jinsi Ya Kuweka Ukomo wa matumizi ya data ktk internet

    Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet. Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi shutdown lkn tatizo lipo pale pale , pia sio mtu wa kuangalia videos mtandaoni kiviile lkn kifurushi...
  7. Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

    Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
  8. Upi ukomo wa ubunge wa kuteuliwa na raisi?

    Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika katiba. Je inakuwaje kwa akina Bashiru na Polepole? Nani Mwenye mamlaka ya kuwafuta ubunge kabla bunge...
  9. M

    Uvumilivu wa kisiasa usio na ukomo ni sumu ya uvumilivu wa kisiasa

    Uvumilivu wa kisiasa ni miongoni mwa kanuni kuu katika dhana ya demokrasia. Hata hivyo katika jamii yetu bado tunahitaji kuukubali ukweli huu ili kuwa na demokrasia yenye kuchochea utawala bora katika nyanja zote. Kuna umuhimu na ulazima mkubwa wa kutambua kuwa, si kila mtu atakuwa na...
  10. Kujua Application zinazotumia Data na kuweka ukomo

    Kujua aplikesheni zinazotumia zaidi data. Nenda sehemu ya settings(Mipangilio) Kisha bonyeza kitufe cha Network & internet/connections(mtandao na miunganisho) Kisha bonyeza Data Usage(Matumizi ya data) kisha Mobile data usage(matumizi ya data ya simu). Kudhibiti matumizi. Nenda kwenye...
  11. Hivi kwanini Ubunge usiwe na kikomo ili kupisha mawazo mapya?

    Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa maendeleo. Na ili tupate maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha. Soma > Olengurumwa...
  12. Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu

    Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili. Soma, Pia Olengurumwa: Ubunge uwe na ukomo wa miaka 15...
  13. Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  14. Katiba sasa ibadilishwe Zanzibar kuondosha ukomo wa muda wa Urais

    Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…