UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE 🚩
Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha.
Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri 👇
1. Hana tabia ya kukubali makosa
Kila kitu ni kulaumu wengine(sababu kibao)… hana “samahani” ya kweli.
2. Anatafuta attention kwa wanaume...