Wanaume wanalia, nyumba chungu haikaliki, hawakupigi (Ni wachache ndio hupiga wanaume) lakini cha mtema kuni hukiona.
Wananyumwa unyumba, wananuniwa, wanasimangwa, wanafyonzwa, wanajibiwa majibu ya shombo na kero nyingi mno kutoka kwa wanawake.
Wanaume hawana pa kusemea, wamejikuta wakitafuta...