njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
Nina kazi ya deadline kesho na leo siku nzima umeme hakuna tangu saa tatu asubuhi umerudi saa moja. Na siyo leo tu ,Its been a week now, kama kujiajiri nimejiajiri LUKU nanunua, daah haya bana naona Waziri anaringa tu kwenye media kwamba tuna excess ya umeme sasa kama shida ni matengenezo si mtupe ratiba tuweze kuwaomba clients wetu kusogeza submission
Kikwete na madhaifu yake yote kama kulikuw ana shida ya umeme tulikuwa tunajua na tunajiandaa sasa hii style ya kuzibaziba INATUUMIZA JAMANI, WTF IS WRONG WITH YOU GUYS?
Niwaambie sasa hata hao watangazaji wanaowasifia redioni tunakunywaga nao sana mitaani huku wanaongea ukweli kwamba wanawasifia kinafiki hawakubaliani na mengi sana thats why kuna mkuu wa mkoa mmoja zamani alikuwa mungu mtu majuzi ilikuwa birthday yake kachuniwa hata mechi za simba siku hizi uwanjani haendi tena
KUWENI NA UTU NDUGU ZANGU MKO KWENYE MA VX WENGINE TUNA STRUGGLE MMEHARIBU SEKTA BINAFSI HATA STRUGGLE YETU NDOGO MNAIHARIBU PIA ?MNATAKA TUFANYE NINI JAMANI