ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Manara kumpiga madongo ya wazi Barbara ni ukatili, binti wa watu almanusura azimie

    Huu ni udhalilishaji Kwa kweli kitendo cha Manara kumtupia madongo huyu binti ilikuwa ni ukatili, yani Barbara alikuwa anaombea tu muda uende haraka Manara amalize maana si kwa makombora ya madongo haya Manara aliyokuwa akimfyatulia binti, Manara ana mdomo mchafu aiee. Ilibidi binti wa watu...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kurekebisha Sheria ya Watoto ili kudhibiti ukatili mitandaoni

    Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira ya sasa. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema: “Malezi bora katika familia...
  3. JamiiForums Tanzania Ni ubatili na ukandamizaji kuwaongezea posho ya Tsh. 130,000 wenye mishahara mikubwa na Tsh. 20,000 wenye mishahara midogo

    Wasalaam. Katika Serikali ya awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete posho ya kujikimu safarini kima cha chini ilikua elfu 80 na cha juu ilikua 120,000 tofauti ilikua elfu 50. Katika awamu ya tano chini ya Magufuli yeye hakuongeza wala hakupunguza aliacha kama ilivyo japo alitamani kuzifuta kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

    Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Ripoti ya kesi za ukatili kwa watoto, Ubakaji 5,899, mimba 1,677, ulawiti 1,114

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene amesema kesi za ukatili dhidi ya watoto zilizoripotiwa mwaka 2021 jumla ni 11,499. Waziri Simbachawene amesema takwimu za Jeshi la Polisi zinaonesha kuwa kuanzia Januari hadi Desemba, 2021 kulikuwa na idadi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Yanayomkuta Carol Ndosi ni ushahidi mwingine kuwa hakuna aliye salama dhidi ya ukatili wa Polisi

    Siandiki haya kwa ushabiki au kwa kufurahia ila naandika ili niwakumbushe kuwa ukatili wa Polisi ukitamalaki basi hakuna aliye salama. Kuna taarifa kuwa Da Carol Ndosi ameshikiliwa kituo Cha Polisi Oysterbay huku akinyanyaswa na "kushambuliwa" na Askari kwa kile kinachodaiwa na yeye mwenyewe...
  7. JamiiForums Tanzania Katavi: Wastani wa Watoto 9 ufanyiwa ukatili kila siku

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amezungumzia kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea katika Mkoa huo, watoto wakiwa sehemu kubwa ya waathirika. Amesema matukio 887 sawa na 65.17% ya matukio 1,361 yaliyoripotiwa kuanzia Januari hadi Machi 2022 yalihusu watoto. Takwimu hizo zimeonesha...
  8. JamiiForums Tanzania Utafiti: Ukatili wa kiuchumi kwa Wanaume umeongezeka, kunyimwa haki ya kuwa na mtoto pia ni Ukatili

    Msaidizi wa Mratibu wa Dawati la Jinsi na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, ACP Faidha Suleiman akiwa katika moja ya majukumu yake ya kutoa elimu kwa wananchi. Licha ya kuzoeleka matukio ya wanaume kuhusika kuwafanyia ukatili wanawake mara nyingi, utafiti umebaini kibao imegeuka na kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wengi hufanyiwa ukatili na watu wanaowaamini

    Ukatili dhidi ya Watoto unaweza kuwa kimwili, kihisia au kingono, na hutokea kote duniani katika mazingira tofauti ikiwemo Shuleni, kwenye Jamii inayomzunguka au Mtandaoni. Watoto wengi wanafanyiwa ukatili na watu wanaowaamini Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la UNESCO...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Utesaji aliofanyiwa Steve Biko na Jeshi la Polisi la Makaburu hadi kumuua ndio huo huo aliofanyiwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi Tanzania

    Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
  11. JamiiForums Tanzania Serengeti: Wananchi wawatuhumu wanaodhaniwa kuwa Askari wa Wanyamapori kwa utekaji

    Baadhi ya wananchi wamewatuhumu wanaodhaniwa kuwa ni askari wa wanyamapori katika Hifadhi ya Serengeti kwa kuteka wananchi huku ikidaiwa kuna baadhi ya watu wanapotea kusikojulikana katika mazingira ya kutatanisha. Gumzo kubwa kwa sasa ni kupotea kwa Nyamuhanga Mnanka (40) mkazi wa Mtaa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kukumbukia ukatili kumetufanya tusahau matatizo mengine yote kwa muda. Watanzania tujifunze

    Hakuna ubishi kuwa enzi ya utawala wa awamu ya tano wa hayati John Magufuli kulikuwa na vitendo lukuki vilivyokuwa na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kuanzia watu kuokotwa fukweni, kupotea, kupigwa risasi, kutishiwa wahame vyama, kunyamazisha vyombo vya habari, kutaifisha, kwenda kinyume na...
  13. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya Wanawake nchini Tanzania bado ni tatizo kubwa

    Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba Kwani licha ya kuwapo kwa unafuu wa matukio ya ukatili ikilinganishwa na miaka ya nyuma lakini bado juhudi zaidi zinahitajika katika kukomesha hali hiyo nchini. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti zinadai Wafanyakazi wengi wanatishwa kazini Tanzania

    Machapisho mbalimbali yanaitafsiri Kazi kama ni seti ya shughuli ambazo zinafanywa kwa ajili ya kufikia lengo, kutatua shida au kuzalisha bidhaa na huduma ili kukidhi mahitaji ya binadamu. Aidha, neno kazi linatokana na Kilatini utatu, ambapo kwa wakati huo kulikuwa na kwa zamu ya safari tatu...
  15. JamiiForums Tanzania Tabia za Watoto kufanyiana ukatili inakua, Watanzania wenzangu tuamke, nani wa kulaumiwa hapa

    Inawezekana hii haizungumzwi sana katika vyombo vya habari kwa kuwa wanahabari wengi wanatazama kinyume chake lakini ukweli ni kuwa kuna tatizo limekuwa likiibuka la watoto kufanyiana ukatili wao kwa wao. Tunajua kuwa asilimia kubwa ukatili kwa asilimia kubwa umekuwa ukifanywa na watu wazima...
  16. JamiiForums Tanzania LHRC: Vijana waambiwa kutelekeza wajukuu kwa wazee wao wawalee ni ukatili

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kwamba katika Ripoti ya Haki za Binadamu 2021, imebaini ongezeko la ukatili wa vijana dhidi ya wazee kwa kuwatelekezea wajukuu, kwa madai wapo mijini kutafuta riziki. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga ameyasema hayo hivi karibuni Mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia Arusha bado upo juu, wasichana ni waathirika wakubwa

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Mkoani Arusha bado vipo juu, hivyo elimu zaidi inatakiwa kutolewa kuhakikisha jamii inaepukana na vitendo hivyo. Aidha, takwimu za mwaka 2021 zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wanawake 4,510 walifanyiwa ukatili wa kijinsia, huku...
  18. JamiiForums Tanzania Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  19. JamiiForums Tanzania Uchumi kupanda katikati ya matatizo ya wadau ni ukatili dhidi ya wanaokutegemea

    Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia kitapungua kidogo ili kuhudumia mwanafamilia apate nafuu. Kama baba anaendela kuvua samaki baharini kukuza...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna matukio 19,726 ya Ubakaji Tanzania tangu Mwaka 2019-2022

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni amesema hayo leo Aprili 6, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge la Viti Maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…