Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone).
Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla.
Bandari hii inajengwa...
Kuna laana kubwa Tanga. Nchi nzima inanyesha mvua isipokuwa Tanga, hasa mjini na viunga vyake ....all surrounding villages within Tanga City planned areas! Tangu last year June untill now!
Soma pia TMA toeni sababu kwanini mvua Tanga hakuna tangu mwezi wa 7, 2025
Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k.
Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache.
Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao...
Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu mshikamano na kuvuruga maendeleo yetu ya pamoja.
Kwa nini tunapaswa kuviepuka:
✅ Udini unavunja...
Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR).
Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
Habari wakuu naombeni mnijuze nchi gani kati ya hizi zina uhaba wa watu na hasa watalaam wa fani mbalimbali na ukienda tunaomba uraia ni chap tu unapewa
Kati ya Australia, Papua New Guinea, New Zealand, Fiji, Solomon Islands, Vanuatu, Vietnam, Laos, Brunei, Thailand, Myanmar, Philippines...
Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000
Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo).
Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya.
Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelionya kundi la Hamas kuwa litayapoteza maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo litaendelea kuwashikilia mateka wa Israel badala ya kuwaachia huru. Mamtashi ya Netanyahu yanafuatia yale ya waziri wa ulinzi wa ulinzi, Israel Katz aliyetoa onyo kama hilo siku...
Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas.
Viongozi 5 wa Hamas waliopigwa target.
Mkuu wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Serikali - Essam al-Dalis.
Mkuu...
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
Habari wakuu!
Kutokana na migogoro ambayo haiishi hapa katika nchi zetu za Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara napendekeza baadhi ya mambo ambayo yatadumisha amani yetu.
1.Viongozi wa Africa waungane na wamalize tofauti zao zisio na tija kama tunavyoona baina ya Kagame na Tshisekedi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo.
Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.