ukanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Arusha Mbioni Kufanywa kuwa Kitovu cha Utalii wa matibabu Ukanda wa Afrika Mashariki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Dr. Ndugulile, kwa sasa Tanzania tusahau kabisa kuupata tena ukuu wa WHO ukanda wa Afrika, haiwezekani!

    Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

    Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi. Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel "Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?" Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF...
  7. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Kwa sera za namna hii, Tanzania inaweza badilisha hali yake ya kiuchumi na kuwa taifa imara ukanda wa Kusini mwa Afrika ama inahtaji mageuzi zaidi?

    Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu

    Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Nchi za Ukanda wa Mashariki mwa Afrika waungana na Rwanda kumbukumbu mauaji ya kimbari

    Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda. Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?

    Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa kuwadhoofisha kwani ndiyo nchi pekee zinazomiliki nishati ya mafuta kwa wingi/utajiri hivyo...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna..... Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Palestina awasilisha Barua ya kujiuzulu. Ataja sababu ni vifo ukanda wa Gaza na vita visivyoisha

    Upepo kuhusiana na Palestina unazidi kushika kasi dunia nzima. Leo Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtieh amewasilisha barua kwa Rais Mahmoud Abbas akiomba kujiuzulu. Sababu alizozitaja kuhusu uamuzi wake huo ni yale anayoyashuhudia kwenye ukanda wa Gaza na maeneo yote ya ukingo wa...
  13. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, tuepuke wagombea wanaotaka kutugawa kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia na ukanda

    Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere... Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
  16. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Israel kuondoa baadhi ya vikosi vyake ukanda wa Gaza ili kulinda Uchumi wake

    Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mahakama ya mafisadi iliyokuwa pale Mawasiliano bado ipo? Imefanya kazi kwa mwaka 2023 mbona hakuna kesi iliyoripotiwa kutoka ukanda huo?

    Magufuli aliamini mapambano dhidi ya rushwa ni kuunda mahakama maalum. Lakini alisahau kwamba wala rushwa na watoa rushwa ni watawala na siyo wananchi. Wakati anatawala watawala waliokuwa wanapelekwa mahakama ya mafisadi ni wale waliokinzana kimtazamo na yeye na utawala wake. Kwa bahati mbaya...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Vijana lazima wawe washiriki hai na wanufaika muhimu katika miradi ya Ukanda Mmoja, Njia Moja

    Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa pamoja na maendeleo endelevu duniani kote kupitia uratibu imara wa sera, muunganisho, biashara isiyo na...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
Back
Top Bottom