ujumbe

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
  2. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na Rushwa

    Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa. SWALI KWENU HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI. ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
  3. JamiiForums Tanzania Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

    Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
  4. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Kikwete na Rostam

    Mabwana, Najua mna furaha adui yenu aliyefichua mambo yenu amenaswa. Japo hakuna jipya kwa sababu tunaujua uchafu wenu, nawaomba chonde chonde. Jitokezeni lau mkanusha hata kinafiki vinginevyo mjue. Your cover has been blown out. Kwa wanaume kweli, hili si jambo la kuacha upepo utulie...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa huu Ujumbe Sheikh anahatarisha maisha yake na Ustawi wa Serikal tukufu

    Ni maneno mazito sana na yenye kukata kama msumeno. Maana yake nini? Je watu wameamua kusema liwalo na liwe? Hawa wanamchukia samia sababu ya Dini yake tu hamna lolote.
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano ya oktoba 29, 2025 hayawezi kufanikiwa, japo nia yake imewapa ujumbe mkubwa mafisadi

    Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake Kwa amani na kujitangaza kushinda na baadaye kujiapisha na kupigiwa mizinga na jeshi letu, Sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa kiongozi wa watekaji.

    Nakuacha na kichupa hicho, sita lia nakutoa machozi, Nitafurahi kwani hukumu yako inakuja, Unakula wenzio na wewe Utaliwa. https://youtu.be/CjZTT1rix8M?si=wlTyehT-zvrX8uc3
  8. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Hamas kwa Netanyahu; Mateka wametawanywa ndani ya vitongoji vya Gaza, operesheni ya uhalifu inamaanisha kuwa hautapata mateka hata mmojo

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam: "Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa jeshi lako linalotetemeka. Hatuwaogope na tuko tayari kupeleka roho za askari wako kuzimu...
  9. JamiiForums Tanzania Makinda yaliyofia kiotani.. Ujumbe kwa watekaji

    Watoto hawa wa ndege walioachwa kwenye viota vyao—wanangoja wazazi wao waje na kuwaletea chakula. Lakini Kwa bahati mbaya, wazazi hawakurudi, waliuawa. Kumbuka, kila wakati unapotofautiana au kuumiza mtu, unauwamiza wengine kwa njia isiyo ya moja kwa moja wale wanaomtegemea. Usijiruhusu kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Humphrey Polepole ameandika ujumbe huu akiimuunga mkono Rais Samia

  11. Z

    JamiiForums Tanzania Jitahid kupitia ujumbe huu hauta jutia muda wako ewe mpambanaji katika maisha

    Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya cryptocurrency..basi huenda taarifa hii usiielewe au kuona ni utapeli..niko tayar kukupa elimu kwa kina...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoto hii itakuwa na ujumbe gani ? kwetu

    Njozi niliyopata ilikuwa hivi.. Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu, gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri...
  13. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na huu Ujumbe..?

    Wakuu, kwa wale mliwahi kuomba "Vacancy transfer" Mshawahi kukutana na huu Ujumbe kama Mimi..? Hawa watu waliotengeneza huu mfumo ni mashujaa sana 😂
  14. J

    JamiiForums Tanzania Anayeshambuliwa siyo Tundu Lisu bali kinashambuliwa “ Kibali” kilicho ndani yake, ilifanyika kwa Yusuf na Daudi pia!

    Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana Ninajua Lisu...
  15. JamiiForums Tanzania Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari. Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded.. Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alikuja kama Messiah kisha akaondoka na kuacha ujumbe "MTANIKUMBUKA..."

    Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule anayependwa na mazungumzo ya siasa, akaanza kwa sauti ya kushawishi: "Eh, rafiki zangu, mnakumbuka ile siku...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Ujumbe gani Tunaupeleka kwa Wafadhili na Wadau wa Maendeleo?

    Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua. Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali...
  19. JamiiForums Tanzania Nimemsikia Dr. Chris Mauki nimependa ujumbe wake nikaone ni-share tuujadili hapa.

    Habari za Jumapili! Huko mitandaoni wakati napitapita nikakutana na Clip inayomuonesha De. Chris mauki akiongea. Dr. Mauki anasema anaamka Alfajiri saa 10 kwenda kufanya mazoezi pale Udsm. Akiwa mazoezini mara kadhaa anakutana na wavunja nazi usiku wakifanya shughuli zao za kishirikina. Mauki...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…