ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalum kwa Wazazi: Wandikie Baba na Mama ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo tu waandikie wazazi wako ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia hadi sasa upo hivyo ulivyo. Haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki, wewe andika neno zuri la shukrani na heri juu yao. Mungu barikii wazazi wetu na uwalaze pema wazazi waliotutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa Mbowe: Huwezi Kufanya Yaleyale Siku Zote Ukategemea Matokeo Tofauti.

    Mbowe amejitahidi sana kufanya siasa za kistaarabu siku zote, bila kutambua kuwa ustaarabu unakuwa na maana, na unaweza kuleta matokeo chanya kwa mtu ambaye ni mstaarabu. Kumfanyia ustaarabu mhuni, jambazi, muuaji, ni kupoteza muda, na wala hutapata matokeo unayoyatarajia. CCM ni chama...
  3. JamiiForums Tanzania Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?

    Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili? Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano SE.X sms ndio inaenda nani kuruhusu mambo haya?
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Mahakama kusema Polisi hawajawashikilia akina Soka Malisa aandika haya

    Jana Mahakama Kuu ya Tanzania, imesema kwamba Polisi haijawashikilia Deus Soka na wenzie wawili (Frank Mbise na Jacob Mlay) wanaodaiwa kutekwa maeneo ya Yombo Buza, na watu wenye silaha kwa kutumia gari aina ya Toyota Noah. Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji Wilson Dyansobera ambaye alisema Mahakama...
  5. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

    Ndugu zangu Watanzania, Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania. Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa...
  6. JamiiForums Tanzania Huu Ujumbe Umenishtua sana

    Kama ndo hivyo, hela tunatakiwa tumpe nani??? Hapo ameniacha njia panda.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro wamasai wajitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Rais Samia.

    Wapinzani na wanaharakati walikuwa wakihoji kuwa Rais wetu si msikivu. Hata hivyo, leo Rais Samia amemtuma mwakilishi wake wa ngazi ya juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro. Walimaanisha kwamba Wamasai hawawezi kuzungumza na mtu mwingine zaidi ya Rais, lakini leo...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni Ujumbe kwetu wanaume

    Jamaa kaongea yote hapa!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kwanza wa Jenister Mhagama akiripoti wizara ya afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbali zinawafikia wananchi wa hali ya chini bila ya kuwa na vikwazo vyovyote. Waziri ametoa kauli hiyo jana Agosti 15, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  10. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe na Nyeupe ya Simba: Yanga Inapeleka Ujumbe Gani?

    Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Wakati rangi nyeupe ni kawaida kwa jezi za ugenini za Simba, uamuzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Leo ni 8/8 Sikukuu ya Wakulima Tanzania, una ujumbe gani kwa Wakulima?

    Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

    Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover. Ikiwa mwanamke wako mara aseme: "Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Katika Quran, kuna aya kadhaa ambazo zinaelezea hasara na madhara yanayowapata wale wanaofuata dini isiyokuwa ya Uislamu. Quran inasisitiza kwamba mafanikio ya kweli na wokovu hupatikana kwa kumwamini na kumfuata Mwenyezi Mungu wa kweli, kama inavyofundishwa na Uislamu. Hapa kuna baadhi ya aya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wanawake Vijana

    Mwandishi - Diane Walls. Wanawake vijana, hii ni kwa ajili yenu. Mwanamke mmoja alifika dukani akiwa amevalia nguo zinazoonyesha mwili wake vizuri sana. Mwenye duka, akiwa mzee mwenye hekima, alimtazama vizuri, akamwomba aketi, akamtazama moja kwa moja machoni, na kusema jambo ambalo...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Usibonyeze Ujumbe huu wa Matangazo ya Zawadi uwapo Mtandaoni

    Epuka kubonyeza 'link' za matangazo ya Zawadi uwapokuwa unapokuwa kwenye tovuti mbalimbali kwani ni njia inayotumika na Wadukuaji kupata taarifa zako binafsi kwa ajili ya utapeli. Ikiwa umegusa epuka kujaza taarifa zao binafsi kama barua pepe, password, majina kamili, taarifa za Kibenki, mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi..... Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia. Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu. Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali. Huo ndio ujumbe wenyewe...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Spika Dkt. Tulia Ackson

    Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma. Umevitafsiri unavyotaka wewe ili lengo lako la kumwondoa Bungeni litimie, lakini sio tafsiri halisi ya...
  18. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  19. JamiiForums Tanzania PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

    Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you. ====== Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…