ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kiswahili kinatufichia sana ujinga na ujima wetu wabongo kwa watu wa nje, sio kwa mada petty kama hizi mitandaoni!

    Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani! Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money"...
  2. JamiiForums Tanzania Kuanza Upya si Ujinga

    Nakumbuka niliwahi kuwa na kaduka kule barabara za namba Tanga mjini🤣🤦‍♀️ Mwanzoni kalinipa heshima kidogo angalau pesa ya mboga nyumbani haikukosekana, angalau kipindi mambo ya mishahara yanasumbua basi kifaida kikawa kinakidhi mahitaji. Likaja wazo la ushauri mbalimbali la kuikopea biashara...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Kila anayefanikiwa lazima aitwe Mwizi, atoa Kafara, Free mason, Tapeli

    Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia 1. Mwizi 2. Katoa Kafara 3. Free mason 4. Tapeli Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Mashabiki njaa acheni ujinga

    Hao mashabiki huibuka muda wowote pale wanapotupiwa jero ya maji na wanatesa mjini kwa sababu ya ujinga wa wajinga hao. Hao wajinga utawakuta msimbazi ila kwa wingi wao wapo pale jangwani. Wamejaa ujinga mtupu, kwa sasa wako na ujinga wa kijinga kukomalia kuchamba neno Sanda lililopo kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kanizingua, Nimemzingua, Tumezinguana. Nimestuka Staki ujinga

  6. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu zingatia kuepuka kuachana na mambo haya ili ufanikiwe

    Kijana mwenzangu; 1. Hofu inamaliza Ndoto zako 2. Wivu unapoteza Amani yako 3. Hasira inaondoa Busara zako 4. Uzembe unaua Malengo yako 5. Uwoga unasitisha Ujasiri wako 6. Majivuno yanakuondolea marafiki Pia soma: Kijana kama unataka kuishi maisha marefu, zingatia haya machache
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye huyu mtoto mwambieni wazungu wanamshangaa na anaweza kujifungia kwenye fursa nyingi hakaishia na ujinga wake

    Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake...
  9. JamiiForums Tanzania Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya Tanzania? Mnaumwa nyie wazee, pambaneni na hali zenu. Kama maisha yamekuwa magumu kwenu, hamna...
  10. JamiiForums Tanzania Upuuzaji wa mambo muhimu na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
  11. JamiiForums Tanzania Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na jamii kwa ujumla na wengi wetu tukafanya...
  12. JamiiForums Tanzania Kama elimu ni ghali basi jaribu UJINGA

    JWTZ kwa kirefu ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA moja ya majeshi imara sana katika Ukanda wetu. Kuna kipindi wakati wa utawala wa Mh JOSEPH POMBE MAGHUFULI (RIP) walifanya onesho la mapigano na kulinda mipaka huku wakimualika Rais wa nchi kushuhudia. Kisha katika HOTUBA yake waziri wa ulinzi...
  13. JamiiForums Tanzania Migomo inayo fanikiwaga ni ya necessity goods and serivices pekee

    Migomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula. Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma? Serikali ikipiga kimya wale jamaa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Waafrika wa utegemezi wa kila kitu katika dini

    Waafrika mmetengenezewa utegemezi kila kitu ktk dini na mategemeo ya baadae siyo sasa ebu fikiria watu wanategemea kuna kupaa na kwenda mbinguni kuishi wakati haohao wanaowaaminisha hivyo wanasema dunia ni duara/ yai na inaelea hewani,sasa huko mbinguni ni wapi kama siyo ujinga wa Wafia dini wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

    Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3 Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom. Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  17. G

    JamiiForums Tanzania MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CPA ya Issa Masoud Simba ichunguzwe kwa kuongea pumba, utumbo, ujinga na kukosa weledi

    Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba. Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Tunapokopa kama Taifa, dhamana yetu huwa ni nini?

    Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo huandaliwa na Mkopeshaji kwa ajili ya kulinda maslahi yake-urejeshwaji wa mkopo pamoja na faida...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…