ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM msishinde tu uchaguzi kwa asilimia 99.999999999 bali shindine na ujinga, umasikini, na maradhi kwa walao asilimi 51 inatosha kabisa

  2. JamiiForums Tanzania Nitafanya ujinga wote ila sio ujinga wa kuchagua kilichochaguliwa

    Leo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa. Huo muda mchafu sina
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

    Mimi ni mshabiki namba moja wa Israel, ila nimeguswa na tukio la kuanguka kwa Jengo Kariakoo, Jitihada tuliyoweka katika uokozi ni aibu kwetu hasa sisi Watanzania tunaomini sio Nyani. Gaza kwao kuanguka kwa majengo ni kila siku tena kwa mabomu na sio uzembe, lakini Watu wake na mifumo yao ya...
  4. JamiiForums Tanzania Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wasio na kazi wanaenguliwa! Huu ni ujinga. Wapiga kura wasio na ajira wasishiriki, huu ni werevu.

    Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA acheni kulialia ujinga ni wenu

    Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho?

    Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?! Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA KUKUBALI KUONGOZWA NA MWANAMKE KWA NAMNA YEYOTE ILE. Mwanamke lake jiko na kutangulia chini na si vinginevyo.
  9. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  10. JamiiForums Tanzania Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
  11. JamiiForums Tanzania Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  12. JamiiForums Tanzania Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siku tukiweka pembeni ujinga wa kulindana

    SIKU TUKIWEKA PEMBENI UJINGA WA KULINDANA Tukalimana kwa mujibu wa ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, na tukaazimia kutenda haki bila kuwaonea mafukara, tukausaka usawa — siku hiyo itabarikiwa na kuifanya nchi ineeemeke kwa haki. Nilisikika huko ndotoni nikitema cheche, nikikemea...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa 'Inverted Wingers'!

    Habari wandugu. Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira. 1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa imekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

    Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga. Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
  17. G

    JamiiForums Tanzania Wakati tunaendelea na uchambuzi wa vita mashariki ya kati na mashariki ya mbali, tusisahau vita yetu ya ujinga na maradhi tangu 60s

    Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine. Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa vita ya Middle East mnanishangaza sana!

    Ni suala la ajabu sana kwa mtanzania anayeishi Tanzania na HALI hii ya maishà, eti naye anafanya propaganda ya vita vya mashariki ya kati. Kama kweli una akili si ufanye propaganda ya kuondoka umasikini unao kukabili. Ukiona habari hata hujaihakikisha unawahi kupost, wakati huu wa vita...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

    Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
  20. JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na watu mara nyingi. Wengi hawaelewi kwa sababu ya ujinga wao wa mambo ya kiroho

    Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu 3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K LEO TUONE NJIA YA NDOTO Ndoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…