Salaam Wakuu,
Huyu Baba wetu wa Kiroho nimeanza kumkatia tamaa. Ana ahadi za Uongo. Alidai kanunua vichwa vya treni ya Mwendo kazi kwa Matumizi ya Tanzania, akadai ataleta bodi za Uvuvi na kuwapeleka Vijana wa Jimbo la Kawe Marekani na Japan kubadilishana Uzoefu.
Tutachambua moja moja ila leo...
Watu kadhaa wamekamatwa nchini Ujerumani katika jaribio la mapinduzi. Zaidi ya polisi 3000 wamesambazwa kwenye miji mbalimbali ya nchi hiyo tokea Berlin mpaka Hamburg.
Mpaka sasa jumla ya viongozi 22 wa mapinduzi hayo wameshakamatwa na jeshi linaendelea kufuatilia mtandao wa wapangaji hao wa...
Kote duniani mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa hufanyika tu miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu. Hata huko Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA ndivyo mambo yanavyokuwaga. Baada ya hapo the winner takes it all na upinzani huhamia bungeni.
Ndiyo maana ya demokrasia: the majority...
Hamna namna kwa waarab sasa, na wao wameona wachangamkie fursa, Mrusi hana wa kumuunga mikono labda waarab wa Bongo tu...
=================
Germany will receive liquefied natural gas (LNG) from Qatar from 2026 and for a period of at least 15 years, Qatari Energy Minister Saad Sharida al Kaabi...
Ujerumani Ni taifa kubwa kiuchumi sana
Ingawa juzi kwenye kuwasili kwenye kombe la dunia akitokea mjini Frankfurt aiifika na nembo za kuashiria kukubali ushonga na kusapoti ushoga lengo na makusudi yake ilikuwa kuwaudhi waarabu, waarabu wakawakatalia kutua katika uwanja wao waondoke wakabadili...
Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni waziwazi!!
Timu ya Ujerumani wakaingia uwanjani huku wakilalamika kuwa WAMEZIBWA MIDOMO, na wakatoa...
Germany To Withdraw Troops From Mali By May 2024
Germany's government has decided to start withdrawing its troops from Mali in mid-2023, with the pullout to be completed by May 2024, several sources said on Tuesday.
Berlin has deployed some 1,000 troops to Mali, most near the northern town of...
Inadaiwa kuwa mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya kukarabati na kutia nakshi. TRC wamelipa Sh. 23 bilioni (35% ya kazi).
Inadaiwa kuwa Mkurugenzi...
Pesa, noti za Tanzania zina printiwa Ujerumani.
Nchi mbili tu Afrika Mashariki ndo zinachapa fedha nchini mwao ( Kenya na Congo), pia ni nchi tisa tu kiujumla Afrika ndio zinachapa fedha zao ndani ya nchi zao.
Chanzo: DW
Nchi za afrika na chapa za fedha
Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4).
Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina.
Tayari...
Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters
Belgrade itakabiliwa na "matokeo" ikiwa itashirikiana na Moscow, mwakilishi wa Ujerumani aliambia shirika la habari
Serbia lazima iamue kuungana na Urusi au EU, afisa wa Ujerumani aliambia Reuters Jumanne. Wakati Berlin imeionya...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili.
Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
Frank-Walter Steinmeier alielezea kampeni ya kijeshi ya Urusi dhidi ya Ukraine kama tukio la maji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ametangaza kwamba Moscow na Berlin sasa zinasimama dhidi ya kila mmoja. Alitaja operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine kama sababu ya kutathminiwa...
Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo.
Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
Hatua hiyo inaelekea kukamilika kama iivyoahidiwa na Serikali ya Kansela, Chancellor Olaf Scholz na ikiwa itakamilika itakuwa Nchi ya pili katika Umoja wa Ulaya kuhalalisha matumizi hayo baada ya Malta.
Lengo linatajwa kuwa ni kwa ajili ya burudani kwa watu wazima ambapo matumizi...
Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani?
Au ndo kweli kama wanavyosema wengine kuwa walikuwa kwenye majaribio yao ya silaha na sasa wameshapata...
Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar.
Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.