Qatar kuuzia Ujerumani gesi kwa miaka 15

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,738
48,612
Hamna namna kwa waarab sasa, na wao wameona wachangamkie fursa, Mrusi hana wa kumuunga mikono labda waarab wa Bongo tu...

=================

Germany will receive liquefied natural gas (LNG) from Qatar from 2026 and for a period of at least 15 years, Qatari Energy Minister Saad Sharida al Kaabi, who is also chairman and CEO of QatarEnergy, has announced.
Under the agreement, a subsidiary of U.S.-based ConocoPhillips will purchase an annual two million tons of LNG for delivery from 2026 to the terminal currently under construction at Brunsbüttel in northern Germany.

The LNG volumes will be sourced from the two joint ventures held by QatarEnergy and ConocoPhillips with interests in Qatar's North Field East (NFE) and North Field South (NFS) projects.

"These agreements are momentous for a number of reasons," the Qatari minister said, stressing that they mark the first long-term LNG supply to the German market, with a supply period extending for at least 15 years, "thus contributing to Germany's long-term energy security."

"This is a concrete demonstration of QatarEnergy's determination to provide reliable energy supplies to the world's major markets and of our commitment to the German people," he added.

The Qatari minister also indicated that the emirate continues to engage in dialogue with its European partners "with the aim of achieving greater energy security, long-term market stability and a smoother energy transition for the benefit of all."

Last week, Qatar Energy signed an agreement with China Petroleum & Chemical Corporation (Sinopec) for the supply of four million tons per year of LNG to the Asian giant for 27 years.
 
Kwa bei gani na itakuwa inachukuwa muda gani kusafirishwa mpaka Ujerumani, yaani kwa mawazo yako unafikiri viwanda vya Ujerumani vitakubali upuuzi huu wa Kansela wa Ujerumani na baadhi ya wenzake wenye chuki binafsi na Putin wauziwe gezi kwa bei ya kuruka, waache kununua gesi kwa bei nafuu kutoka Urusi ambayo ni relatively cheap na karibu kuliko Qatar - nani atakubali kufanya biashara hiyo kichaa,.ili kufurahisha Uongozi wa Merikani maanake wao ndio wako obsessed na gesi/mafuta ya Urusi, wanazishinikiza mataifa ya Ulaya yasinunue gesi wala mafuta kutoka Urusi kampeni hizo chafu walizianza kwa muda mrefu sana kwa kutumia vitisho mbali mbali, kinacho wasumbua ni wivu tu na roho ya kwa nini - kumbukeni visanga vya Huawei ,S-400 na Sukhoi SuperJet.
 
Sasa Mkuu unapinga wakati wenzako washasaini mkataba.

Mbona China wameingia mkataba na Qatar wa miaka 27 kununua hiyohiyo LNG,kwani hawakuona hiyo cheap gas from Russia,au na wachina wanataka kuufurahisha utawala wa Marekani?!
 
Hili nalo unalizungumziaje?!
Qatar seals 27-year LNG deal with China as competition heats up.

QatarEnergy has signed a 27-year deal to supply China's Sinopec with liquefied natural gas in the longest such LNG agreement to date as volatility drives buyers to seek long-term supplie

Since Russia's invasion of Ukraine in February, competition for LNG has become intense, with Europe in particular needing vast amounts to help replace Russian pipeline gas that used to make up almost 40% of the continent's import

European companies looking to buy LNG needed to look at how Asian buyers were approaching their own negotiations and were willing to lock into long-term deals, QatarEnergy chief Saad al-Kaabi told Reuters, shortly before signing the Sinopec dea

"Today is an important milestone for the first sales and purchase agreement (SPA) for North Field East project, it is 4 million tonnes for 27 years to Sinopec of China," Kaabi sai

"It signifies long-term deals are here and important for both seller and buyer," he said in an interview in Doha, adding that the deal was the LNG sector's largest single sales and purchase agreement on record.

The North Field is part of the world's biggest gas field that Qatar shares with Iran, which calls its share South Pars.

QatarEnergy earlier this year signed five deals for North Field East (NFE), the first and larger of the two-phase North Field expansion plan, which includes six LNG trains that will ramp up Qatar's liquefaction capacity to 126 million tonnes per year by 2027 from 77 million.

It later signed contracts with three partners for North Field South (NFS), the second phase of the expansion.

Monday's deal, confirmed by Sinopec (600028.SS), is the first supply deal to be announced for NFE.

"This takes our relationship to new heights as we have an SPA that will last into the 2050s," Kaabi said.

"It sends a message that a lot of Asian buyers are actually approaching us to have a long term deal because they see the volumes of gas that are coming in the future are less and less.
 
Wenyewe wanasema hoyo gas haitoshelezi mahitaji yao.

Hakuna unafuu kwe German kureplace Russia LNG.

HiO ni tiktak tu
 
Sasa vi nchi vingine vya Ulaya kama Ureno, Slovenia, Bosnia, Macedonia, Hungary Albania, Craotia, Czech, Slovak, Bulgaria, nk wataweza kununua gesi kutoka Quatar? Pili, Quatar inao uwezo wa kuhudumia soko lote la Ulaya?

Vv

Huyu anadokoa habari na kitafuta furaha mitandaoni...

The federal government celebrates its LNG deal with Qatar and boasts big numbers. The fact is, these two million tons of LNG correspond to three percent of German gas consumption. There are still no real alternatives to Russian gas!”the politician from The Left party wrote on Twitter.
 
Hili nalo unalizungumziaje?!
Qatar seals 27-year LNG deal with China as competition heats up.

QatarEnergy has signed a 27-year deal to supply China's Sinopec with liquefied natural gas in the longest such LNG agreement to date as volatility drives buyers to seek long-term supplie

Since Russia's invasion of Ukraine in February, competition for LNG has become intense, with Europe in particular needing vast amounts to help replace Russian pipeline gas that used to make up almost 40% of the continent's import

European companies looking to buy LNG needed to look at how Asian buyers were approaching their own negotiations and were willing to lock into long-term deals, QatarEnergy chief Saad al-Kaabi told Reuters, shortly before signing the Sinopec dea

"Today is an important milestone for the first sales and purchase agreement (SPA) for North Field East project, it is 4 million tonnes for 27 years to Sinopec of China," Kaabi sai

"It signifies long-term deals are here and important for both seller and buyer," he said in an interview in Doha, adding that the deal was the LNG sector's largest single sales and purchase agreement on record.

The North Field is part of the world's biggest gas field that Qatar shares with Iran, which calls its share South Pars.

QatarEnergy earlier this year signed five deals for North Field East (NFE), the first and larger of the two-phase North Field expansion plan, which includes six LNG trains that will ramp up Qatar's liquefaction capacity to 126 million tonnes per year by 2027 from 77 million.

It later signed contracts with three partners for North Field South (NFS), the second phase of the expansion.

Monday's deal, confirmed by Sinopec (600028.SS), is the first supply deal to be announced for NFE.

"This takes our relationship to new heights as we have an SPA that will last into the 2050s," Kaabi said.

"It sends a message that a lot of Asian buyers are actually approaching us to have a long term deal because they see the volumes of gas that are coming in the future are less and less.
ACHA UTOTO BASI:

The federal government celebrates its LNG deal with Qatar and boasts big numbers. The fact is, these two million tons of LNG correspond to three percent of German gas consumption. There are still no real alternatives to Russian gas!”the politician from The Left party wrote on Twitter.
 
Sasa Mkuu unapinga wakati wenzako washasaini mkataba.

Mbona China wameingia mkataba na Qatar wa miaka 27 kununua hiyohiyo LNG,kwani hawakuona hiyo cheap gas from Russia,au na wachina wanataka kuufurahisha utawala wa Marekani?!

Unacho sahau ni kwamba Urusi na Uchina wanatandaza bomba kubwa la kusafirisha gezi kutokoka Urusi kwenda China,, unajua itasafirisha cubic meter ngapi kwa siku ukilinganisha na LNG inayo safirishwa kwa meli kutoka Qatar-ambayo ni negligible, Qatar na Uchina wamewekeana sahahihi kudumusha Urafiki baina ya Uchina Middle East (Arabuni) na sio kwamba China ina shida sana na gesi ya Qatar ambayo haiwezi kukidhi mahitaji ya viwanda vya Uchina, mkombozi wa viwanda vya Uchina ni gesi ya Urusi sio Qatar,je, una habari kwamba kuna bomba lingine la gesi linatandazwa kusafirisha gesi kwenda Japan, Wajapan walichekecha wakaona hisiwe shida wataendelea kununua gesi kutoka Urusi bila ya kujali Merikani wanasema nini!!

Wajapan hawawezi kukubali viwanda vyao vizorote ili wawafurahishe USA, Wajapan majasiri sana unlike whobbly European leaders,hapo hatujazungumzia bomba la kwenda Iran, mwisho kuna bomba la gesi linapitia Uturuki kwenda Ulaya na Uturuki ndio itakuwa HUB ya kusambaza gesi huko Ulaya - sasa hawa ndumila kuwili ambao wanajifanya mara hawataki gesi ya Urusi mara wanaitaka, kwa nini wanakubali kuwekewa HUB ya kusambaza gesi ya Urusi huko Uturuki???Mara Nataka, mara sitaki, kama watoto wadogo, nawahakikisheni mwisho wa siku wote watarudi kwenda kumbembeleza Putin ili awauzie gesi kwa bei nafuu kama zamani na kuachana kuchanganya masuala ya biashara na foreign policy za Kimerikani ambayo zimeiponza Ulaya nzima kiuchumi na uzorotaji wa viwanda na ajila - vurugu tupu mpaka sasa, huku Merikani akichekelea kwa kuwauzia gesi nchi za Ulaya mara nne ya beii ya soko - wapo wapo tu wanashindwa Wajapan ambao wamekataa kuburuzwa kama mbuzi.

Mwisho nimalizie kwa kusema,je,unajua taifa la Ulaya linalo jifanya kuwa very vocal dhidi ya Urusi na Putin ndilo linaongoza Ulaya kununua mafuta ya Urusi kinyemela, lakini likiwa kwenye majukwaa ya kisiasa linajifanya kumkoromea Putin kwa kumbatiza majina ya kila sampuli - nyuma ya pazia linakwenda kununua mafuta ya Putin kinyemela - Waingereza mazabazabina kweli kweli - soma propaganda zao kupitia Reuters ndio utawashangaa, mabingwa sana kwa kutunga horror stori kuhusu Urusi na kusema msemaji hataki kutajwa jina - ulaghai mtupu.
 
Kwa bei gani na itakuwa inachukuwa muda gani kusafirishwa mpaka Ujerumani, yaani kwa mawazo yako unafikiri viwanda vya Ujerumani vitakubali upuuzi huu wa Kansela wa Ujerumani na baadhi ya wenzake wenye chuki binafsi na Putin wauziwe gezi kwa bei ya kuruka, waache kununua gesi kwa bei nafuu kutoka Urusi ambayo ni relatively cheap na karibu kuliko Qatar - nani atakubali kufanya biashara hiyo kichaa,.ili kufurahisha Uongozi wa Merikani maanake wao ndio wako obsessed na gesi/mafuta ya Urusi, wanazishinikiza mataifa ya Ulaya yasinunue gesi wala mafuta kutoka Urusi kampeni hizo chafu walizianza kwa muda mrefu sana kwa kutumia vitisho mbali mbali, kinacho wasumbua ni wivu tu na roho ya kwa nini - kumbukeni visanga vya Huawei ,S-400 na Sukhoi SuperJet.

Usijali kuhusu bei, Mrusi keshapoteza kila aina ya soko kwa ujinga wa mtu mmoja, amepoteza hata soko la silaha maana ameonyesha alivyo na silaha dhaifu, amepoteza hata usupapawa kwa kulemazwa na kainchi kadogo.
 
Si wanataka kujitoa fifa World Cup kisa hawajapewa haki zao(ushoga), wakatae na gesi yao sasa😂🤣

Aliye nacho na asiye nacho ni watu wawili tofauti.
 
Kwa bei gani na itakuwa inachukuwa muda gani kusafirishwa mpaka Ujerumani, yaani kwa mawazo yako unafikiri viwanda vya Ujerumani vitakubali upuuzi huu wa Kansela wa Ujerumani na baadhi ya wenzake wenye chuki binafsi na Putin wauziwe gezi kwa bei ya kuruka, waache kununua gesi kwa bei nafuu kutoka Urusi ambayo ni relatively cheap na karibu kuliko Qatar - nani atakubali kufanya biashara hiyo kichaa,.ili kufurahisha Uongozi wa Merikani maanake wao ndio wako obsessed na gesi/mafuta ya Urusi, wanazishinikiza mataifa ya Ulaya yasinunue gesi wala mafuta kutoka Urusi kampeni hizo chafu walizianza kwa muda mrefu sana kwa kutumia vitisho mbali mbali, kinacho wasumbua ni wivu tu na roho ya kwa nini - kumbukeni visanga vya Huawei ,S-400 na Sukhoi SuperJet.
mambo yashasainiwa wewe unaandika essay
 
Unacho sahau ni kwamba Urusi na Uchina wanatandaza bomba kubwa la kusafirisha gezi kutokoka Urusi kwenda China,, unajua itasafirisha cubic meter ngapi kwa siku ukilinganisha na LNG inayo safirishwa kwa meli kutoka Qatar-ambayo ni negligible, Qatar na Uchina wamewekeana sahahihi kudumusha Urafiki baina ya Uchina Middle East (Arabuni) na sio kwamba China ina shida sana na gesi ya Qatar ambayo haiwezi kukidhi mahitaji ya viwanda vya Uchina, mkombozi wa viwanda vya Uchina ni gesi ya Urusi sio Qatar,je, una habari kwamba kuna bomba lingine la gesi linatandazwa kusafirisha gesi kwenda Japan, Wajapan walichekecha wakaona hisiwe shida wataendelea kununua gesi kutoka Urusi bila ya kujali Merikani wanasema nini!!

Wajapan hawawezi kukubali viwanda vyao vizorote ili wawafurahishe USA, Wajapan majasiri sana unlike whobbly European leaders,hapo hatujazungumzia bomba la kwenda Iran, mwisho kuna bomba la gesi linapitia Uturuki kwenda Ulaya na Uturuki ndio itakuwa HUB ya kusambaza gesi huko Ulaya - sasa hawa ndumila kuwili ambao wanajifanya mara hawataki gesi ya Urusi mara wanaitaka, kwa nini wanakubali kuwekewa HUB ya kusambaza gesi ya Urusi huko Uturuki???Mara Nataka, mara sitaki, kama watoto wadogo, nawahakikisheni mwisho wa siku wote watarudi kwenda kumbembeleza Putin ili awauzie gesi kwa bei nafuu kama zamani na kuachana kuchanganya masuala ya biashara na foreign policy za Kimerikani ambayo zimeiponza Ulaya nzima kiuchumi na uzorotaji wa viwanda na ajila - vurugu tupu mpaka sasa, huku Merikani akichekelea kwa kuwauzia gesi nchi za Ulaya mara nne ya beii ya soko - wapo wapo tu wanashindwa Wajapan ambao wamekataa kuburuzwa kama mbuzi.

Mwisho nimalizie kwa kusema,je,unajua taifa la Ulaya linalo jifanya kuwa very vocal dhidi ya Urusi na Putin ndilo linaongoza Ulaya kununua mafuta ya Urusi kinyemela, lakini likiwa kwenye majukwaa ya kisiasa linajifanya kumkoromea Putin kwa kumbatiza majina ya kila sampuli - nyuma ya pazia linakwenda kununua mafuta ya Putin kinyemela - Waingereza mazabazabina kweli kweli - soma propaganda zao kupitia Reuters ndio utawashangaa, mabingwa sana kwa kutunga horror stori kuhusu Urusi na kusema msemaji hataki kutajwa jina - ulaghai mtupu.
China hata siku moja hawezi kukubali awe tegemezi Kwa Urusi sababu ameshaona kilichowakuta Ulaya kwa kutegemea gas ya Urusi na kilichowahi mkuta Marekani mwaka 1973 baada ya waarabu kugoma kumuuzia mafuta kisa kuisapoti Israel kwenye vita ndio maana kwenye masuala ya nishati anafanya diversification ya kufa Mtu hategemei sehemu moja Kwa asilimia kubwa pia China yenyewe ina sehemu kadhaa imegundua uwepo wa Gas na mafuta ya kutosha hivyo usije kudhani hata siku moja pengo la soko la Ulaya litakuja kuzibwa na Uchina. Ulaya ilikua ikinunua zaidi ya 155 bcm za Gas toka Urusi,China sidhani hata kama zinafika hata 50bcm anazonunua toka Russia.

Zama za Urusi kutawala soko la Gas Ulaya zimekwisha bro hata Putin analijua hilo ndio maana wanaingia mikataba na nchi mbalimbali huku wakifufua project mbalimbali za Gas pia nchi nyingi Hasa za Africa ambazo zimegundua Gas zinatolea macho soko la Europe,Nigeria kule kuna project ya pipeline ambayo itaenda mpk Europe. Msumbiji wameanza kupeleka LNG Europe. Norway imeanza Kwa kujenga pipeline kupeleka Gas Poland ambayo nayo mwanzo ilikua tegemezi Kwa Russia lakini SS hv Poland hainunui Gas ya Russia hata kiduchu. Norway inatarajia kuongeza uzalishaji na kujenga pipelines kwenda nchi nyingine za Europe.
Marekani mwaka huu tuu imeship karibu 40 bcm za LNG kwenda Ulaya,hiyo ni mwaka huu tu baada ya Russia kuvamia Ukraine. Baada ya miaka mitano sijui hali itakuaje!!!!!

Japan na Russia sidhani kama Wana project yoyote ya pipeline,hiyo itakua mpya. Ninachojua Japan na Russia Wana project ya LNG ambapo kampuni ya Marekani Exxon ilijitoa wakabaki Japan na Russia.

Karibu Nusu ya bajeti ya Russia inatoka kwenye mapato ya Mafuta na Gas na nchi nyingi zilizoendelea kwenye Muongo ujao zinahama huko zinaenda kwenye renewable sasa sijui Supapawa wetu mtegemea mafuta na Gas ataishije. Ulaya kaunzia 2030s magari yanayotumia mafuta yatapigwa Marufuku,nchi kama Germany inawekeza Sana kwenye renewables kama unadhani zile Zama za Putin kutumia Gas kama silaha hapo Ulaya bado zinaendelea bhas upo ndotoni,AMKA!
 
Back
Top Bottom