ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

    Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo. Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya YÜTEK ya Uturuki yasaini mikataba ya ujenzi wa meli

    15 June 2021 Mwanza, Tanzania Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417. Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

    Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli sote twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi, mfano bwawa la Mwl. Nyerere, Reli ya Mwendokasi (SGR), barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi. Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Ujenzi wa Round about Nkuhungu wasitishwa

  5. JamiiForums Tanzania Design ya Sebule kuwa Chini halafu Vyumbani na Sehemu ya Chakula kuwa Juu

    Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa? Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde aiomba Wizara ya Nishati kutoa matangazo ya fursa katika ujenzi wa Bomba la Mafuta-Hoima

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania. Hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Tuulize chochote kuhusu mbao na changamoto zake

    Heri ya mwezi mpya, Sisi ni wataalamu wa mbao za aina mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania. Tupo Dar es Salaam. Tunao ujuzi na uzoefu wa miaka mingi. Kama inavyofahamika, shughuli za ujenzi wa majengo na baadhi ya miundombinu hapa kwetu kwa kiasi kikubwa bado hutegemea mbao kama mojawapo...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo faida itakazopata Geita endapo Chato itajitoa na kuwa Mkoa mpya

    Licha ya Chato kuwa Mkoa ni nafasi ya upendeleo ebu tuangalie faida tutakazo zipata sisi wana Geita. 1: Tunahitaji kiwanja kipya cha Ndege kujengwa mkoani Geita kwa kuwa Geita tutakuwa hatuna kiwanja cha Ndege. 2: Kama tunavyojua Timu yetu ya Geita Gold FC rasmi imeingia ligi kuu. Hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi flyover chang'ombe /uhasibu

    Naomba kujuzwa kuhusiana na ujenzi unaendelea wa flyover chang'ombe /uhasibu maana yangu ni kuwa kwa nini hawa wakandarasi wakati wa ujenzi hawamalizi kwanza upande mmoja ili kupunguza msongamano ndio waendelèe na mwingine kuliko upande mmoja haujaisha wao wameshanza mwingine msongamo inazidi...
  11. JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa ofisi za CHADEMA Nchi nzima tena kwa michango ya kawaida ya wanachama wao ni ya kupongezwa

    Ni kasi na mwitikio wa ajabu! Kusini hadi Kaskazini,Mashariki hadi Magharibi jamaa wanajenga kwa kujitolea kabisa tena ofisi zenyewe ni za kisasa kabisa. Jambo hilo si tu linashtusha bali pia ni muhimu lipongezwe!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kibamba, barabara ni mbovu mno. Wizara ya Ujenzi mtusaidie jamani

    Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana. Ebu cheki...
  13. JamiiForums Tanzania Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  15. JamiiForums Tanzania Vetting ya private contractors wa ujenzi wa nyumba

    Habari wakuu... Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi. Changamoto kubwa iliyopo ni kujua yupi anayeweza kufanya kazi kweli maaana picha baadhi wanatoa tu mtandaoni na wengine ku copy za...
  16. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi wa bomba la mafuta toka Mtwara kwenda Dar es Salaam

    Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam. Tukimaliza hapo, tuanze kuelewa kwanini Gesi tunaipeleka Kenya. Gharama za mradi ni Dola za Marekani 1,225,327,000 (Bilion 1.2)Kati ya fedha hizo Benki ya Exim ya China imechangia asilimia 95 na Serikali ya Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka

    Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika. Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus. Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama. Kwa maelezo...
  20. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

    Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, kuna ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo. Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…