Ama kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji.
Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives.
Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda.
Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya biashara.
Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha aandike barua na kuituma...
Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee...
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela.
Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi...
Habari Wakuu.
Kwa mujibu wa EWURA wanaoratibu kampuni zitakazoshirikishwa kwenye ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Tanga,wameinesha kusikitishwa na muamko mdogo wa kampuni za Kitanzania zilijitokeza kusajiliwa.
Licha ya usajili kuwa bure na elimu kutolewa lakini ni...
Habari za mchana wajenzi...
Napenda kufaham, ina chukua muda gani kujenga nyumba ya vyumba vitatu kutoka msingi hadi finishing? Hapa ninakuwa na pesa yote inayohitajika. Ni mtu ambaye nimeajiriwa kwa hiyo natafuta kuomba likizo ya siku 30 ili nisimamie shughuli yote ya ujenzi hadi ikamilike. Na...
Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone kwa gharama nafuu na kwa kazi safi, inayodumu na usalama wa mali zako tuwasiliane kupitia no; 0782369491 au
what'sApp 0654121218 kwa picha zaidi za kazi zetu.
Tujenge pamoja.
YOU ARE FRIENDLY WELCOMED 🎈
Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa.
Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
FURSA FURSA FURSA
Tunawatangazia mafundi wote wa ujenzi na wasaidizi wa kazi za Ujenzi kuwa kuna fursa ya kazi na mafunzo ya ujenzi. Pia kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kujifunza ujenzi ata kama sio Fundi wa ujenzi atapokelewa.
Tunapatikana Kibaha Misugusugu.
Kwa maelezo zaidi piga: 0672629292
"Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo.
Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
Habari wakuu.
Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo.
Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji...
Habari wadau..!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo!
Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama.
Majengo ya serikali sio nyumba...
Serikali imekusanya tozo ikatuambia kiasi kimefikia bilioni 48. Ni mwanzo mzuri. Lakini kilichonishtua ni namna zinavyokwenda kutumika; inauma Sana.
Matumizi yake katika ujenzi wa shule na zahanati yameelezwa yatajikita kwenye mfumo wa force account, naamini hapa ndipo tatizo la kupanga na...
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.
Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo
Mungu ibariki Chadema
Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?