ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa msimamo ujenzi bomba la mafuta la EACOP

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chomgoleani Tanga, kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitaalamu. Waziri wa Nishati, January...
  2. JamiiForums Tanzania Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

    Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa. Kutokana na mipango ya nchi za maghararibi nchi za Uganda na Tanzania haziruhusiwi kuendeleza miradi...
  3. JamiiForums Tanzania Zaidi ya wafanyakazi 150 wapoteza kazi baada ya kusitishwa ujenzi wa hoteli

    Wafanyakazi 150 wa Mradi wa ujenzi wa hoteli ya nyota tano Blue Amber, wamepoteza kazi baada ya Wizara ya Ardhi kusitisha mkataba wa ukodishaji ardhi kwa Kampuni ya Pennyroyal Zanzibar licha ya kuwapo amri ya Mahakama ya kutaka ujenzi kuendelea. Wakizungumza na waandishi wa habari, wafanyakazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yasitisha ujenzi wa 'Blue Amber', kibali cha mwekezaji chazuiwa

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesitisha ukodishaji wa ardhi iliyotolewa kwa kampuni ya Pennyroyal Limited ya Uingereza ya Pennyroyal Limited ya Matemwe, mwendelezaji huyo ametangaza. Ardhi inayozungumziwa ilikuwa hekta 411 ambapo mradi wa mapumziko wa Blue Amber ulikuwa unaendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta marine board kwa ajili ya ujenzi DSM

    Habari, Site ipo Goba, nahitaji marine board kama 70 kwa ajili ya ujenzi. Nahitaji zilizotomika si zaidi ya mara moja. Kwa Dar es Salaam naweza zifuata popote.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza uadilifu kwenye Ujenzi wa Mji wa Serikali

    Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Komredi Kinana afurahishwa na Ujenzi wa Daraja la Magufuli ( Kigongo - Busisi) ambao umefikia 57%, ampongeza Hayati Magufuli

    Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za Ujenzi ambao ni 57% Chanzo: Star tv ---- Na Mwandishi wetu, Mwanza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
  10. JamiiForums Tanzania Korogwe: Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kuficha milioni 100 za ufadhili wa ujenzi wa shule

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za mfadhili za ujenzi wa shule. Agizo hilo amelitoa jana Alhamisi Septemba Mosi 2022 wakati wa mkutano...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za ujenzi vyumba vitatu mpaka lenta

    Naomba kujua ujenz wa room 3(kimoja masta) na public toilet moja na jiko ndan, eneo sq20 kwa 15. Dar es Salaam
  12. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa masuala ya ujenzi naombeni ushauri wenu

    Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika vizuri na watu kuna jamaa kanisaidia kunipa msaada wa molds za kutengeneza maua na mikanda ya gypsum...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi gorofa na utaratibu wa mipaka

    Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking. Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha. Hii sheria inatokea wapi? Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia...
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Omari Kipanga ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) kuhakikisha ujenzi wa mabweni unamalizika

    Na WyEST, MOROGORO Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu. Mhe. Kipanga ameyasema...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23

    Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23 OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema katika mwaka wa fedha 2022/23 ujenzi wa barabara...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

    Mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) katika mkoa wa mjini magharibi kisiwani unguja, unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia katibu mkuu wa wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab kusaini mkataba na...
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mitambo ya ujenzi inauzwa

    Habari, Husika na kichwa cha habari, Mitambo ya ujenzi kama excavators, faw tippers, wheelloaders, weighbridge, drill machine etc inauzwa. ipo Lugoba Tanzania. Bei ipo kwenye picha 0658007766 karibu
  18. JamiiForums Tanzania Geita: Mayanga Contracts LTD, imeshindwa kumaliza ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya Mwenye Kampuni kufa?

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo. Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Baada ya Kushindwana na Mwekezaji

    Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji. Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa. Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa NB. Kwenye suala na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…